The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ila kiukweli hii ratiba ya world cup haitakuwa rafiki kwa vilabu Vingi pale ulaya na city naona tutakuwa kwenye hilo kundi....

Wachezaji wetu wengi mataifa yao yana probability kubwa ya kuvuka makundi

Kevin de bruyne (Belgium)

Joao cancelo,Bernardo Silva,Ruben Diaz ( Portugal)

Jack grielish,kyle walker( huyu bado ni majeruhi),john stones,kalvin Phillips, Phil foden (england)

Alvarez (Argentina japo sidhani kama atatumika sana)

Laporte,rodri(Spain)

Akanji(Switzerland)

Ake(Netherland)

Ederson( Brazil ila atasugua)

Gundogan (germany)

Iwapo hizo timu zitafika mbali basi tujiandae kisaikolojia maana wachezaji watachoka ukizingatia baada ya michuano kuisha tunaunga moja kwa moja carabao kwaiyo hapa tutakua na mtihani haswaa
 
Bado kuna timu inamtaka haaland kwa mkopo kwa kipind hiki ambacho atakuwa hachezi .....hako ka timu ni ka uingereza league 1 maana wao watakuwa wanaendelea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matumaini fc hehehehehe mkalitibu kwanza lile takataka lenu li keyita lipone kaswende ndio uje upige mapambio humu
Mtateseka sana mwaka huu
Ndo tushaanza
Tunaendelea kuwatumbua tu
Ladder49 Jj (2).jpg
 
Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.

1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.

2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.

3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.

4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.

5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
 
[emoji599] UPDATED CITY FIXTURES:

Tottenham (A) | Sunday 5th February 2023 | 16:30 KO
Aston Villa (H) | Sunday 12th February 2023 | 16:30 KO
*Bournemouth (A) | Saturday 25th February | 17:30 KO
 
Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.

1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.

2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.

3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.

4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.

5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
Tuliza makalio wewe kibwengo ,unakatiza na kanga Moko imelowa kwenye geto la wanaume eeeh
 
[emoji599] City Will Face Girona In A Friendly On Saturday 17th December, In A 1pm Kick-Off At The Academy Stadium. #mcfc
 
Back
Top Bottom