Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Naona umethibitisha nilichosema.Tuliza makalio wewe kibwengo ,unakatiza na kanga Moko imelowa kwenye geto la wanaume eeeh
Pep lazima kichwa kiume ....Alvarez anajua boli kmmk
Itakuwa katikati ya wiki inayoanza kesho nadhani
test yaccine tvNdugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi. Natanguliza shukrani.
View attachment 2451415
Asante sana mkuu ngoja nijaributest yaccine tv