Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa
Punguza kidogo hizo news unazoweka hapa maana nyingi zipo online mda wote, ukiziweka hapa kwa kila jambo basi thread inakuwa kubwa na tunakosa kupata mawaitha ya wana jf wenzetu. hapa tupeane mawaidha yetu, how you feel for the team? hizo news ambazo hata kwenye simu tunapata zipunguze kidogo.
sorry kama utakuwa umenielewa vibaya
Numbisa kwenye haya majukwaa huwezi kumfurahisha kila mtu. Nasio kila mtu anatembelea majukwaa mbalimbali ya mpira.Kwahiyo mie binafsi naomba uendelee kutuletea news mbalimbali.Kumbe kuna watu nawakera kwa news, poa mkuu. Sitaleta news yoyote hapa.byeee
sorry mkuuKumbe kuna watu nawakera kwa news, poa mkuu. Sitaleta news yoyote hapa.byeee
Man city imetumia pesa nyingi sana kufanya usajili msimu huu hakika wanastahili kuchukua vikombe vyote
Mkuu upo!!!Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Ulivyosema kuw hutaleta news yoyote hapa imekuw kweli!! Mtu 1 hawezi kukutoa hapa. Tunaehitaji taarifa zako tupo wengi sana tunaomba urudi mkuu.Kumbe kuna watu nawakera kwa news, poa mkuu. Sitaleta news yoyote hapa.byeee
Ulivyosema kuw hutaleta news yoyote hapa imekuw kweli!! Mtu 1 hawezi kukutoa hapa. Tunaehitaji taarifa zako tupo wengi sana tunaomba urudi mkuu.
Numbisa kwenye haya majukwaa huwezi kumfurahisha kila mtu. Nasio kila mtu anatembelea majukwaa mbalimbali ya mpira.Kwahiyo mie binafsi naomba uendelee kutuletea news mbalimbali.