The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huwezi bahatisha mara mbili!
Mwaka huu hamna chenu hamchukui hata FA
Mbunu zile zile haziwezi kukupa EPL mara mbili mfululizo!
Kw amabeki hawa wazito Liverpool anakufunga home and away
Liverpool ndiyo mabingwa wapya wa EPL
Nani hapa anaweza simama na kusema hayaogopi majogoo ya ANFIELD?
Ivi umesahau kuw tumeshaweka kabitini kombe? Utatabika sana mkuu.
 
Kwa uzowefu wako wakuchambua soka, Man City imeshuka kiwango sana? Subiri utajionea mwenyewe
Huwezi ukachukua EPL kwa wachezaji wale wale na mbinu zile zile kwa misimu miwili
Kompyuta zimeisha onyesha jinsi ya kuwazuia na kuwafunga
Pia mna kipa wa hovyo kuliko teams zote EPL
Ambaye hawezi cheza footing kabisa
 
Haka kajukwaa kasubirie deb ya manchester ndo itapata washabiki wake.
Au zile tim za london zianze kupata kipigo ndo mashabiki wake watarudi huku
 
Haka kajukwaa kasubirie deb ya manchester ndo itapata washabiki wake.
Au zile tim za london zianze kupata kipigo ndo mashabiki wake watarudi huku
[emoji3] [emoji3] kwa hiyo unataka kusema hii team haina mashabiki halisi wa man city

E&K
 
Dakika ya 54. Man City 4 -1 Huddersfield

Magoli ya Aguero (2), Gabriel J (1), na D. Silva (1)

Sent from my SHV-E330K using Tapatalk
 
First goal. Aquelo
1534686128541.gif
1534686232308.gif
 
Manchester City are destroying Huddersfield 4-1. Just a reminder that they have Leroy Sane, Raheem Sterling and Riyad Mahrez on the bench, also Kevin De Bruyne is out for 3 months. That is absolutely ridiculous.

Sent from my SHV-E330K using Tapatalk
 
Back
Top Bottom