Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Najua una dhihakiCity ni bingwa tena msimu huu
Wengine wanawania top 4 tu
Hongereni sana City!
Hamna team ya ubingwa pale msimu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua una dhihakiCity ni bingwa tena msimu huu
Wengine wanawania top 4 tu
Hongereni sana City!
Sijaiona kama utaipata naomba unijuze mkuu.HV kuna group LA what'sap la man city
Ivi umesahau kuw tumeshaweka kabitini kombe? Utatabika sana mkuu.Huwezi bahatisha mara mbili!
Mwaka huu hamna chenu hamchukui hata FA
Mbunu zile zile haziwezi kukupa EPL mara mbili mfululizo!
Kw amabeki hawa wazito Liverpool anakufunga home and away
Liverpool ndiyo mabingwa wapya wa EPL
Nani hapa anaweza simama na kusema hayaogopi majogoo ya ANFIELD?
Kwa uzowefu wako wakuchambua soka, Man City imeshuka kiwango sana? Subiri utajionea mwenyeweNajua una dhihaki
Hamna team ya ubingwa pale msimu huu
Huwezi ukachukua EPL kwa wachezaji wale wale na mbinu zile zile kwa misimu miwiliKwa uzowefu wako wakuchambua soka, Man City imeshuka kiwango sana? Subiri utajionea mwenyewe
Ni kweri mkuu utazani niko peke yangu.Haka kajukwaa kenu kamepooza mno
Kwan d druyne ana majelui ya mwezi mzimaKale ka de bruyne nnje msimu mzima nasikia
Pamoja na team yenu kufanya poa sana mmepooza mnoNi kweri mkuu utazani niko peke yangu.
[emoji3] [emoji3] kwa hiyo unataka kusema hii team haina mashabiki halisi wa man cityHaka kajukwaa kasubirie deb ya manchester ndo itapata washabiki wake.
Au zile tim za london zianze kupata kipigo ndo mashabiki wake watarudi huku
Nnje miezi mitatu de bruyneKwan d druyne ana majelui ya mwezi mzima
League ni safari ndefu mkuuIla tunawatoto wanaoweza kama foden atushindwi kubeba ubingwa