kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Bahati ndo hatuna mkuu,Watani bado mko vizuri sana kuliko timu yoyote msimu huu
Sijaona timu yenye depth kama City
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati ndo hatuna mkuu,Watani bado mko vizuri sana kuliko timu yoyote msimu huu
Sijaona timu yenye depth kama City
HahahahUbingwa ni wa kwenu tu msimu huu labda muanze mauzauza kama majirani zenu.
Wengine tutaishia kuvizia top 4 tu
Sana mkuu
ni timu kubwa duniani,Manchester city sio team kubwa duniani
Ukibisha uje na vigezo
E&K
Manchester city sio team kubwa duniani
Ukibisha uje na vigezo
E&K
Mkuu nipo sema tu harakati zinabana sana....
We jamaa upo..nilitegemea kukuona utd wakiwa championship hukoMkuu nipo sema tu harakati zinabana sana....
Haaah! Kitambo sana ndugu yangu mimi nipo bhana sema mambo mambo tu yanazingua......... Majirani zangu Untd naona wanapumulia mipira huko
Mtazamo wako. Haki yakoManchester city sio team kubwa duniani
Ukibisha uje na vigezo
E&K
HahahahaHaaah! Kitambo sana ndugu yangu mimi nipo bhana sema mambo mambo tu yanazingua......... Majirani zangu Untd naona wanapumulia mipira huko