Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bwana mdogo ni hatari sana...
Kuna jamaa sijui ni kitu gani tunamkosea, yaani yeye kila mara analalamika ooh jukwaa halina update, mara limedorora. Sasa mm nashangaa tutaweka updates za nn wakati tupo juu tu muda wote> wanaoweka updates ni wale ambao wanapanda au kushuka. Mfano Chelsea ameshuka Man U ameshuka na ukienda kwenye threads zao utaona wanavyolalamika tu, sasa sisi huku tunalalamika nini? Tarehe 8 dec kutakuwa na update ya Arsenal Kupanda top 4. Maana sisi tutamchapa na kumgaragaza Chelsea na kumshusha namba 5.Hatufungwi mkuu ndio maana
NakubaliKuna jamaa sijui ni kitu gani tunamkosea, yaani yeye kila mara analalamika ooh jukwaa halina update, mara limedorora. Sasa mm nashangaa tutaweka updates za nn wakati tupo juu tu muda wote> wanaoweka updates ni wale ambao wanapanda au kushuka. Mfano Chelsea ameshuka Man U ameshuka na ukienda kwenye threads zao utaona wanavyolalamika tu, sasa sisi huku tunalalamika nini? Tarehe 8 dec kutakuwa na update ya Arsenal Kupanda top 4. Maana sisi tutamchapa na kumgaragaza Chelsea na kumshusha namba 5.
Hahah! sure wadau wanazingua sana wanataka tuanze kusema kocha afukuzwe au wachezaji hawana ubora wakati sivyo ilivyo. au tuanze kua tunaimba wimbo wa timu kila siku humu. Wao majukwaa yapo bize kwasababu mambo hayaendi sawa na wapinzani wao wanaenda kuwananga, ukitaka kuamini hilo ngoja siku tukifungwa humu uone jinsi jukwaa litakavyochangamka kwa ugeni tutakaoupataKuna jamaa sijui ni kitu gani tunamkosea, yaani yeye kila mara analalamika ooh jukwaa halina update, mara limedorora. Sasa mm nashangaa tutaweka updates za nn wakati tupo juu tu muda wote> wanaoweka updates ni wale ambao wanapanda au kushuka. Mfano Chelsea ameshuka Man U ameshuka na ukienda kwenye threads zao utaona wanavyolalamika tu, sasa sisi huku tunalalamika nini? Tarehe 8 dec kutakuwa na update ya Arsenal Kupanda top 4. Maana sisi tutamchapa na kumgaragaza Chelsea na kumshusha namba 5.
Hamna kitu..., mashabiki wachacheHahah! sure wadau wanazingua sana wanataka tuanze kusema kocha afukuzwe au wachezaji hawana ubora wakati sivyo ilivyo. au tuanze kua tunaimba wimbo wa timu kila siku humu. Wao majukwaa yapo bize kwasababu mambo hayaendi sawa na wapinzani wao wanaenda kuwananga, ukitaka kuamini hilo ngoja siku tukifungwa humu uone jinsi jukwaa litakavyochangamka kwa ugeni tutakaoupata
Kumbe sababu mnazijuaHamna kitu..., mashabiki wachache
Kwan mi ndo nimelalamika kuhusu ukimya wa jukwaa?!!...Kumbe sababu mnazijua
Nyie mpo wangapi kwenu?Hamna kitu..., mashabiki wachache
Kwenye mobro inapatikana wapi jamani mechi ya leo?Nyie mpo wangapi kwenu?
Unafananisha timu kongwe na changa.... Cjawahi cheza championship mm.Nyie mpo wangapi kwenu?
Nimeshaona mobroKwenye mobro inapatikana wapi jamani mechi ya leo?
Kongwe ni ipi. Kwenye epl. Timu namba 1 mpaka 20. Zote ni timu bora.Unafananisha timu kongwe na changa.... Cjawahi cheza championship mm.