The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Silva
1543195026537.gif
 
Hatufungwi mkuu ndio maana
Kuna jamaa sijui ni kitu gani tunamkosea, yaani yeye kila mara analalamika ooh jukwaa halina update, mara limedorora. Sasa mm nashangaa tutaweka updates za nn wakati tupo juu tu muda wote> wanaoweka updates ni wale ambao wanapanda au kushuka. Mfano Chelsea ameshuka Man U ameshuka na ukienda kwenye threads zao utaona wanavyolalamika tu, sasa sisi huku tunalalamika nini? Tarehe 8 dec kutakuwa na update ya Arsenal Kupanda top 4. Maana sisi tutamchapa na kumgaragaza Chelsea na kumshusha namba 5.
 
Nakubali
 
Hahah! sure wadau wanazingua sana wanataka tuanze kusema kocha afukuzwe au wachezaji hawana ubora wakati sivyo ilivyo. au tuanze kua tunaimba wimbo wa timu kila siku humu. Wao majukwaa yapo bize kwasababu mambo hayaendi sawa na wapinzani wao wanaenda kuwananga, ukitaka kuamini hilo ngoja siku tukifungwa humu uone jinsi jukwaa litakavyochangamka kwa ugeni tutakaoupata
 
Hamna kitu..., mashabiki wachache
 
Back
Top Bottom