The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji2] [emoji2] mkuu draw ndo imetupa spurs.
Japo spurs ni mbaya sana uefa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, tena marudiano mtampiga hata wiki na kupita kiulaiiiini maana hata swala la Kenny kuumia mechi ya awali ilitokana na mbinu mlizojiandaa nazo ili asije kuwasumbua mechi ya marudiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni wa mtu mmoja tu nini? Man city hakuna mashabiki, yan huwez inua kifua ukasema wew ni shabik wa city
 
Back
Top Bottom