interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Chelsea ina wachezaji wazuri sana tu lkn shida ni Kocha pekee[emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea ina wachezaji wazuri sana tu lkn shida ni Kocha pekee[emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dembe B.Ewaaah ndio hii
Kwakikosi cha chelsea na walipo leo hii inasikitisha sana.Chelsea ina wachezaji wazuri sana tu lkn shida ni Kocha pekee[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naubaya wakati huu makocha wazuri ni hadimu sanaChelsea ina wachezaji wazuri sana tu lkn shida ni Kocha pekee[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother tuna ratiba ngumu sana.
Tukiipangua yote tutauonyesha ulimwengu kwamba sisi ni noma.
Ila tupo pamoja kwenye quadruple[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] mkuu draw ndo imetupa spurs.UEFA kwenyewe mmeshapangua kwa figisu za kupangiwa na Tottenham, mtashindwaje EPL ss[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Game one ndio inanipa imani kua kesho tunashinda maana sitaki kuamini eti watupige nje ndaniUkumbuke game 1 waliwafunga.
Na mwaka jana mlidroo, tena walikosa penati late minutes.
Jamaa hawawaogopi kabisa.
Unajua ukisema uangalie vikosi .Chelsea ina wachezaji wazuri sana tu lkn shida ni Kocha pekee[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, tena marudiano mtampiga hata wiki na kupita kiulaiiiini maana hata swala la Kenny kuumia mechi ya awali ilitokana na mbinu mlizojiandaa nazo ili asije kuwasumbua mechi ya marudiano[emoji2] [emoji2] mkuu draw ndo imetupa spurs.
Japo spurs ni mbaya sana uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko kitu hakiwezekanGame one ndio inanipa imani kua kesho tunashinda maana sitaki kuamini eti watupige nje ndani
Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa[emoji2] [emoji2] mkuu draw ndo imetupa spurs.
Japo spurs ni mbaya sana uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu spurs imeshinda mechi nyingi walipocheza bila kane. Kuliko walipocheza akiwemoHakuna kitu kama hicho, tena marudiano mtampiga hata wiki na kupita kiulaiiiini maana hata swala la Kenny kuumia mechi ya awali ilitokana na mbinu mlizojiandaa nazo ili asije kuwasumbua mechi ya marudiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs sio wabaya.Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe tu uzima utaniletea mrejesho jinsi mtavyopita kiulaiiini mechi ya marudiano na Tottenham tukiwa wazima J5Sasa mkuu spurs imeshinda mechi nyingi walipocheza bila kane. Kuliko walipocheza akiwemo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shaka ondoa huwa nawapamoyo wasiotupenda.Umeanza kukiri udhaifu na wewe spurs walaini kama vya tumboni mwenyewe hiyo tarehe 17 utashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua city ni timu ambayo anyone can score.Tuombe tu uzima utaniletea mrejesho jinsi mtavyopita kiulaiiini mechi ya marudiano na Tottenham tukiwa wazima J5
Sent using Jamii Forums mobile app