SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
City tunamengi ya kujifunza uefa.
Laa sivyo hatutakaa tuinuse hata fainal
Bora umeliona hilo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City tunamengi ya kujifunza uefa.
Laa sivyo hatutakaa tuinuse hata fainal
Duu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapema sana pia nazan itakuwa game ya ushindi mkubwaWakuu juma pili tunaingia na suti zetu kuchukua epl kabisa
Tuwaache hao spurs na liverpool wakapasuane madrid hukoo 1 june
Unaambiwa kwasasa Man City ndio timu inayoongoza kwa kufanya usajili makini wa wachezaji DUNIANI..!View attachment 1093279
Oscar tarensi.
From espanyol to man city
Age 16
Position left-back.
Price £260,000/=
Citizenship spain.
Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...Siipatii picha city baada ya miaka mi3,4 ijayo tayar ishawanyang'anya barca watoto wawili watam wakina eric garcia huyu nae wamewanyang'anya espanyol kwa hiari.
Zinchenko walimnunua kwa kiasi hikihiki
That's sureUnaambiwa kwasasa Man City ndio timu inayoongoza kwa kufanya usajili makini wa wachezaji DUNIANI..!
Txiki anaifanya kazi yake vyema sana...
Pia kinachonipa amani ya moyo zaidi ni kuona kuna dalili zote kuwa Pep Guardiola bado yupoyupo sana katika jiji la Manchester..!
Hapo kwa fernandinho ni mtihan mkubwa sana.Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
Sane amedrop sanaa sanaa sijui anafikiria nini.Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
Naona tetesi za kumtaka felix .Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...