The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FB_IMG_15574662990937221.jpeg
 
59960270_425011384955532_1183154530175626770_n.jpeg

Oscar tarensi.
From espanyol to man city
Age 16
Position left-back.
Price £260,000/=
Citizenship spain.
 
Siipatii picha city baada ya miaka mi3,4 ijayo tayar ishawanyang'anya barca watoto wawili watam wakina eric garcia huyu nae wamewanyang'anya espanyol kwa hiari.

Zinchenko walimnunua kwa kiasi hikihiki
 
Wakuu juma pili tunaingia na suti zetu kuchukua epl kabisa

Tuwaache hao spurs na liverpool wakapasuane madrid hukoo 1 june
 
FB_IMG_15575203479853934.jpeg

Tatizo hakuwa kwenye barcelona mode. Haha ingekuwa hatari
 
View attachment 1093279
Oscar tarensi.
From espanyol to man city
Age 16
Position left-back.
Price £260,000/=
Citizenship spain.
Unaambiwa kwasasa Man City ndio timu inayoongoza kwa kufanya usajili makini wa wachezaji DUNIANI..!
Txiki anaifanya kazi yake vyema sana...
Pia kinachonipa amani ya moyo zaidi ni kuona kuna dalili zote kuwa Pep Guardiola bado yupoyupo sana katika jiji la Manchester..!
 
Siipatii picha city baada ya miaka mi3,4 ijayo tayar ishawanyang'anya barca watoto wawili watam wakina eric garcia huyu nae wamewanyang'anya espanyol kwa hiari.
Zinchenko walimnunua kwa kiasi hikihiki
Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
 
Unaambiwa kwasasa Man City ndio timu inayoongoza kwa kufanya usajili makini wa wachezaji DUNIANI..!
Txiki anaifanya kazi yake vyema sana...
Pia kinachonipa amani ya moyo zaidi ni kuona kuna dalili zote kuwa Pep Guardiola bado yupoyupo sana katika jiji la Manchester..!
That's sure
Japo kuwa barca wanalia sana arudi ila alishaawaambia akirudi nou camp hatafundisha timu ya wakubwa ila ataenda zake lamasia academy.
Na kwa sababu haziivi na bartomeo mpaka 2021 watakapomchagua president mpya labda ndo atamrudisha.

Ila kwa sasa naona uwepo wake kwa miaka mingine zaidi.
 
Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
Hapo kwa fernandinho ni mtihan mkubwa sana.
Maana sugestion zao ni yue rodri wa atletico na ndombele.
Ia rodri anauchezaji fulan hv wa buscet na ni tofauti na fernandinho ambae ni mzuri wakati wote timu ikishambulia na ikishambuliwa
Hapo ni mtihan mkubwa kwa kwel.
 
Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
Sane amedrop sanaa sanaa sijui anafikiria nini.
Mahrez namkubali sana,kwasababu jamaa anacheza kama rooben style yake. Ata yeye alishasema anapenda sana ushmbuliaji wa rooben na messi . yani fake shots, na ku cut-in alaf kupiga mzungusho.
Ila akikaa sawa jamaa tutakuwa tumekula bingo sana.
Kwa sababu bado tunahitaji mtu wakuzigasi beki sana na kuzipenya ama kushot kutokana na timu nyingi kupaki basi tunaposhambulia.
 
Kwasasa timu yetu ina utajiri mkubwa sana wa mabeki wa kati...
Garcia,Sandler,Laporte,Stones,Otamendi na Kompany,wote hao ni mabeki wa kati...
Naamini Otamendi na Kompany watawapisha Garcia na Sandler katika kikosi cha kwanza msimu ujao...
Pia nafikiri Danilo ataondoka,kwahiyo ni lazima City itasajili beki mwingine wa kulia...
Pia kuna possibility ya kusajili mshambuliaji mmoja kwaajili ya kujiandaa kuziba pengo la Aguero,soon Aguero arudi zake Argentina...
Kitu kinachonipa wasiwasi mpaka sasa ni kuwa nashindwa kuelewa ni mchezaji gani atakuja kuziba nafasi ya Fernandinho,ni kazi ngumu sana kupata mchezaji sahihi wa kuvaa viatu vya Fernandinho kwa wakati huu..!
Sane anaweza akasepa tu,sidhani kama timu itapata shida sana kuziba nafasi yake,coz I hope msimu ujao Mahrez atakuwa katika ubora wake...
Naona tetesi za kumtaka felix .
Au namba tisa yoyote yenye njaa ya magoli,tofauti kdg na jesus wakati mwingine anaonyesha kbisa ajakomaa kiasi fulani.
Na kwa sasa kupata namba tisa yenyee sio mchezo. Timu kama barca wanatafuta namb tisa.
Madrid nao wanatafuta.
Man u pia wanatafut na wengine kama juve na bayern.
Uzuri tu city inamvuto kwa wachezaji wengi.
Na kwa attacking midfield wakusaidiana na KDB naona yule bruno fernandes atafaa nimeona clip zake ni mzuri.

Otamendi nimeona wanamtaka valencia,danilo nae anasepa.
Kompany atapumzika na yeye umri umeenda.
Aguero anakama misimu miwili mitatu pamoja na silva.
Wakati huo damu changa kama garcia itanoga zaidi.
Wakati huo pia zinchenko ni kiungk mshambuliaji mzuri vyakutosha.
 
MATCH DAY.
BRIGHTON VS MAN CITY.

watoto leo mapema tu wanakufa
 
FB_IMG_15575997423226066.jpeg

Kama naziona golden gloves zikienda kwa ederson msimu hu.
 
FB_IMG_15575324833632003.jpeg

Heavy Monaco squad kabla hawajauza uza.
Naona wakipambana mzimu hui wasishuke daraja
 
Hivi huyu Guardiola bado haoni umhimu wa sisi kuchukua UCL kweli?
 
Back
Top Bottom