Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wakuu natangulia kabisa kuwapa hongera zenu in advance, kwa sababu najua there is no way msishinde hii game.
Nipende kusema kwamba uzoefu wa Pep kwenye mashindano ya namna hii si wa kiwango kidogo, hata tulivyowazidi point saba hakukata tamaa, na alikuwa wazi kwenye interviews akisema tutapambana mpaka dakika ya mwisho.
He has proven it, nakumbuka press yake kabla ya game vs Liverpool alikuwa so bold kusema kwamba bado ana nafasi ya kuwa bingwa. That is championship mentality.