The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hiki ndio kikosi ambacho kitakuwepo muda mrefu pale Ettihad

Shida inakuja pale EPL

Kikosi hiki hata Real Madrid ambayo ina Hazard wanakufa kirahisi mno
LINEUP111562419710842.jpeg
 
Nilikuwa natazama documentary ya barca inayohusu kipindi cha guadiola inaitwa " TAKE THE BALL PASS THE BALL".
TIKI-TAKA yenyewe kipindi cha pep.
Sio siri jamaa wanamkumbuka sana PeP wacha wajutie kdg.
 
Sasa hivi naona kama Man City hachezi ile tiki-taka yenyewe
 
Wachezaji wakuokota okota.
Wale wa barca alitoka nao lamasia tangu wadogo wengi wao.
Pia midfield nyingi za city zimetoka kwenye mpira wa kasi na counter.
Ngoja tuone uko mbele.
 
Dalili zinaonyesha lazima Sane atimkie Bayern na kinachofukisha Moshi ni kutokuanza(benchi)

Bayern watafanya kila fitina kumchomoa huyo dogo hapo Etihad
 
Ni wapuuzi wiki iliyopita walikuwa nakusema wanamtaka dembele kama mbadala wa sane ambae alitajwa €120m wakati huo kwa sane ambae ndio chaguo lao wakasema €80m
Wapuuzi.
Sane akienda bayern atapata namba ya uhakika, ila angenusa upepo unapoelekea abaki city.
Anaogopa kushindania namba na mahrez !!!
Upuuzi.
 
Nakama wataruhusu aondoke.
Hakuna kinda wakumrithi ni mbape peke yake.
Ugumu utakuwa pale sterling anapokuwa majeruhi.

Uzuri ata ataapoondoka hakutakuwa na pengo kubwa.
 
Sane kashindwa ushindani na Bernado
 
Pengo litakuwepo sababu watu wazuri pale winga ya kulia ni kama watakuwa Hawapo maana we mwenyewe unajua jinsi ambavyo Bernado hawezi kuwapa goli 10 za ligi kwa msimu
 
Sane kashindwa ushindani na Bernado
Kupata namba mbele ya benardo kwa sasa ni mtihani sana. Pia sane ni mzuri akitokea sub.
Pia Ubaya hajatoa tamko lolote kuhusu kubaki kwake.
Na kama hata uzwa msimu huu msimu ujao utapoisha atakuwa amebakiza mwaka moja.
Thamani itapungua.
Alafu kincho nishangaza ni huu utaratibu wa bayern kutangaza kwenye vyombo vya habari namna ile.
Nakumshawishi mchezaje wazi vile, naona wamewaambia na wachezaji wa bayern maana wote wanasema kimoja.
 
Pengo litakuwepo sababu watu wazuri pale winga ya kulia ni kama watakuwa Hawapo maana we mwenyewe unajua jinsi ambavyo Bernado hawezi kuwapa goli 10 za ligi kwa msimu
Ni kweli, ila wanacheza na akili yake.
Nashangaa mpaka dortmund wanasupport sane kwenda.
 
Back
Top Bottom