The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City can win this still kwasababu siwaoni Man U wakitoka kwa Swansea. Labda mbeleko maana mtacheza nao OT. Then mwisho kabisa Manchester Derby itatoa mwanga kwa Mancini. Watch this space
 
bado hawaamini hilo waache tu kama walivyo..
 
swansea wanacheza soccer ya kuvutia sana nakumbuka walivotufundisha gooners kucheza soccer ... manure utd wawe makini .. kuna huyu dogo Sinclair mzuri sana na Graham
 
City can win this still kwasababu siwaoni Man U wakitoka kwa Swansea. Labda mbeleko maana mtacheza nao OT. Then mwisho kabisa Manchester Derby itatoa mwanga kwa Mancini. Watch this space

Title race is still so open to the 2 Manchester teams.
 
City can win this still kwasababu siwaoni Man U wakitoka kwa Swansea. Labda mbeleko maana mtacheza nao OT. Then mwisho kabisa Manchester Derby itatoa mwanga kwa Mancini. Watch this space

Je City atapona dhidi ya Chelsea(home), Stoke(away),Arsenal (away)?.Naamini tutacheza na City ubingwa ukiwa tayari kibindoni
 
hapa inaniumiza kichwa gemu arsenane na stoke ila chelsea lazima apigike hata stoke ila aseno ndio utata..
 
Haha hahaaa....., mkuu, nimetumia uzoefu tu mabadiliko labda yanaweza kuwa baada ya Arsenal, Man City halafu Chelsea. Kuna matimu yanajua kuufukuzia ubingwa acha kabisa!!!!

bado gemu kumi ni nyingi sana lolote linaweza kutokea lakini mpaka sasa na ona city inachance kubwa ya kulibeba..
 
Back
Top Bottom