Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 877
Hivi vitimu vidogo hovyo kabisa, kazi yao kututibulia mission
Mission Impossible.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vitimu vidogo hovyo kabisa, kazi yao kututibulia mission
City can win this still kwasababu siwaoni Man U wakitoka kwa Swansea. Labda mbeleko maana mtacheza nao OT. Then mwisho kabisa Manchester Derby itatoa mwanga kwa Mancini. Watch this space

Siyo kwamba timu zinaanza kujiposition kwenye nafasi zao za kawaida za kumaliza msimu? Yaani, Man U, Arsenal, Chelsea and Man City..!!!!Title race is still so open to the 2 Manchester teams.
Siyo kwamba timu zinaanza kujiposition kwenye nafasi zao za kawaida za kumaliza msimu? Yaani, Man U, Arsenal, Chelsea and Man City..!!!!

Wakuu poleni sana, lakini mkitulia mnaweza kurudi kileleni....
swansea wanacheza soccer ya kuvutia sana nakumbuka walivotufundisha gooners kucheza soccer ... manure utd wawe makini .. kuna huyu dogo Sinclair mzuri sana na Graham
City can win this still kwasababu siwaoni Man U wakitoka kwa Swansea. Labda mbeleko maana mtacheza nao OT. Then mwisho kabisa Manchester Derby itatoa mwanga kwa Mancini. Watch this space
Je City atapona dhidi ya Chelsea(home), Stoke(away),Arsenal (away)?.Naamini tutacheza na City ubingwa ukiwa tayari kibindoni
poleni, sijui kama mtarudi kwenye nafasi ile tena.
nakupa pole kwa kujipa moyo...
Haha hahaaa....., mkuu, nimetumia uzoefu tu mabadiliko labda yanaweza kuwa baada ya Arsenal, Man City halafu Chelsea. Kuna matimu yanajua kuufukuzia ubingwa acha kabisa!!!!
Je City atapona dhidi ya Chelsea(home), Stoke(away),Arsenal (away)?.Naamini tutacheza na City ubingwa ukiwa tayari kibindoni
mpe Bwana makofi glory to God!