The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.kashatua Barcelona
fcbarcelona-20211228-0001.jpg
 
Mkuu sisi kila game ni kujipanga na kutoa kipigo tu. ..

Leo Brentford lazima atuachie point 3
 
Pep Leo tunataka point 3 ili tuende point 9 mbele, sema naye anafanya complication nyingi wakati hazihitajiki
 
Pep Leo tunataka point 3 ili tuende point 9 mbele, sema naye anafanya complication nyingi wakati hazihitajiki
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu Leo tunachanga kete vzuri , Brentford sio wakubeza lakini ni rahisi Sana kuchukua point 3 mapema kabisa ....

Hiii game najua watu wa Liverpool na Chelsea wataitolea macho ,kuona namna gani tutapoteza point ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nawambia tu mapema kuwa Leo watatoka na maumivu makali sana
 
Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea

Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
 
Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea

Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
Tafuta fixture nyingine ,hii tunatembeza Moto mkali ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Game ya Chelsea vs liverpool hii itatusaidi kumpunguza mmoja ,yaan hataweza kabisa kutufikia ...

Kama Liverpool akishinda ,maana yake Chelsea tutakuwa tumempiga gap zaidi ...draw itakuwa Bora zaidi aisee ,naombea draw ....
 
Mimi shabiki wa Guadiola since akiwa Fc Barcelona ,mpaka inafika time nafurahia mafanikio ya City kuliko timu nnayoishabikia
 
Back
Top Bottom