Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.kashatua Barcelona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu Leo tunachanga kete vzuri , Brentford sio wakubeza lakini ni rahisi Sana kuchukua point 3 mapema kabisa ....Pep Leo tunataka point 3 ili tuende point 9 mbele, sema naye anafanya complication nyingi wakati hazihitajiki
Tafuta fixture nyingine ,hii tunatembeza Moto mkali ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea
Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
Kama hao Chelsea wenyewe kudadeki wasituzoee ,tunahasira nao ....Mahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea
Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
Baaad ya game urudi humu kulia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Let's go Brentford
Mkuu karibu ubingwaniMimi shabiki wa Guadiola since akiwa Fc Barcelona ,mpaka inafika time nafurahia mafanikio ya City kuliko timu nnayoishabikia
Next ...3 hizo kibindoni, Arsenal tunakungoja.