Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Grealish, rodri, dias, ake.Pep kasema anaona wachezaji wamechoka na hana uhakika kama watarecover ipasavyo kuelekea kwenye hiyo mechi.
Na ukiangalia ni kweli toka april imeanza ametumia kikosi kilekile day in day out na mechi zilikua za mikiki haswa.
Ukizingatia tuna game na arsenal, kuna haja ya kufanya refreshment ya kikosi kwenye game ya sheffield.
hawa watu wamepiga kazi haswa.