The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mpaka haaland kafumua nywele anajua game imeisha [emoji23][emoji23]lakin katupia goli ...
 
Weraaaaaaa, weraaaaaaaaaaaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ETIHAD AIR WAYS.[emoji1666][emoji119]
 
mkuu huyu kijana wetu anangalia mpira live score tuliwaambia hata bayern akishinda 100 kwake basi tutampga 99 pale pale kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pamoja na furah yote walotupa vijana wa kazi the citizens, nimeumia sana kuufatilia huu mtanage wetu kwa live score kwa kuwa nje ya mji tena penye changamoto kubwa ya network yaani unaweza tamani upande juu ya mti ambapo ni usiku.
 
[emoji2424] Mikel Arteta (Arsenal): "Manchester City were better, deserved to win the game. We never had a chance to win the game. We have to be humble to accept that..."
 
.
mancity-20230427-0002.jpg
 
Jana gap la ake halikuonekana ,...

Walker alikuwa anamdhibiti Sana zinchenko Hadi huruma ...

Saka Jana hakuonekana ,akanji alifanya majukumu yake ...

ifike muda watu waache kulinganishwa yule "small boy ordegard " na the best midifilder in the world kdb ...

Combination ya kdb na halaand ni fire ...

Naona kama vile halaand anajifunza kuwa play marker ,....Lile goli la kwanza la kdb ni kama goli tulilowafunga buyern ....

Team yetu Kwa Sasa ina " monster mentality" kiufupi Sion timu ikikatiza bila kupigwa ...

Jana ilikuwa " men against boys " arsenal walionekana kama watoto wadogo mnoo ...

Tuko na game 2 ,ambazo tukipata point 3 zote basi tunamuacha arsenal Kwa point 4 ...

Arsenal akizid kuteleza basi tunaenda kutangaza ubingwa mapema mnoo ...
 
Back
Top Bottom