Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wewe unakuaga na uoga wa kuskiza hear sayAkanji na saka ....
Huu upande Nina wasiwasi nao ....
mkuu huyu kijana wetu anangalia mpira live score tuliwaambia hata bayern akishinda 100 kwake basi tutampga 99 pale pale kwakePepo la hofu lishindwe Citizens tupo na mbinu kama zote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pamoja na furah yote walotupa vijana wa kazi the citizens, nimeumia sana kuufatilia huu mtanage wetu kwa live score kwa kuwa nje ya mji tena penye changamoto kubwa ya network yaani unaweza tamani upande juu ya mti ambapo ni usiku.mkuu huyu kijana wetu anangalia mpira live score tuliwaambia hata bayern akishinda 100 kwake basi tutampga 99 pale pale kwake