The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man city are unbeaten in their last 25 home games in UCL.
23 wins, 2 draws.
 
Man city record at etihad in UCL this season.

5 games played

5 games won [emoji91]

20 goals scored [emoji91][emoji91]

2 goals conceded [emoji91][emoji91][emoji91]

Averaging 4 goals scored per match
 
Hivi Kwann Mahrez asianze badala ya bernado silva ....

Mahrez amekuwa wa moto game kadhaa nyuma ....

Harafu anajua kutanua uwanja kule pembeni na kucontrol mpira haraka, kudribble kuingia golin na kupiga cross haraka kumzidi bernado .......bernado yeye anajua kukaaa na mpira sanaa

Nawasiwasi tu kuwa Mahrez ni mzito kurudi nyuma kuzuia ,tofauti na bernado silva ...
Expect the same XI kama ile ya first leg
 
Kama pep ataingia na approach ileile ya kutaka kucontrol mchezo, tegemea Bernado ataanza, ila kama atataka tuwe aggressive zaidi tofauti na game ya kwanza, basi Mahrez ndie ataanza.
Guardiola hawezi kurisk game control, tegemea kikosi kilekile kama first leg.
 
Guardiola hawezi kurisk game control, tegemea kikosi kilekile kama first leg.
Wacha tuone ila binafsi ningependa kwenye mbavu ya kulia aanze mahrez leo ili kuongeza directness,kitu ambacho tulikikosa kwenye 1st leg. Tukiweza kupata matokeo ndio aingie bernado kuongeza control.
 
Man city have won all of their home matches in 2023 in all competitions.

Etihad is the holy ground.
 
- Who would you root for to qualify? Manchester City or Real Madrid C.F.?

[emoji2424] Pedri (FC Barcelona): "I won't lie, I’m not gonna say Madrid. I'd prefer to see City qualify. I'm a big fan of Pep Guardiola's style, plus he's a former Barca coach.."
 
Pep kama kweli yupo serious hii mechi inabidi aanze na aggressive wingers, foden na mahrez hii mechi inawafaa kabisa.

Najua grealish lazima ataanza, kwaiyo kule kwa bernado aanze kati ya mahrez au foden, pep anataka tucontrol game bila kutake risks za kupenya golini kwa mpinzani matokeo yake tunaishia kupigapiga mipasi tu isiyo na malengo kama ilivyokuwa first leg.

We have to be more direct, aache uoga wa timu kukosa control ya mchezo, goals are important.
 
Leo kasema anafanya tactical tweak, ngoja tuone kama itahusisha kufanza mabadiliko kwenye line up ama atabadili approach.
 
Pep kama kweli yupo serious hii mechi inabidi aanze na aggressive wingers, foden na mahrez hii mechi inawafaa kabisa.

Najua grealish lazima ataanza, kwaiyo kule kwa bernado aanze kati ya mahrez au foden, pep anataka tucontrol game bila kutake risks za kupenya golini kwa mpinzani matokeo yake tunaishia kupigapiga mipasi tu isiyo na malengo kama ilivyokuwa first leg.

We have to be more direct, aache uoga wa timu kukosa control ya mchezo, goals are important.
Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.

Iwapo Man City watafanya mistake ya kupoteza mipira bila kuwahi kuichukua basi tutegemee Madrid kufanya control ya haraka kwenda golini kwa City.

Kama kikosi cha City cha first leg ndo kitaanza basi mimi naipa. MADRID USHINDI.
 
Hii ni knock out stage mzee ,goli Moja linakutoa kwenye mashindano ....

Ndio maana tukiwa hatuna mpira kdb na haaland ndio wanabaki mbele tu kwa ajiri ya counter attack ...

Tumekuwa tukitolewa Kwa kupanic kutaka kushambulia na kufunga huku tukisahau kudefence vzuri ....

This time hakuna papala ,ni kucheza football ,tukianza kuingia na mentality za kumaliza game mapema basi tutapigwa nyingi tu ....hii ni one mistake you are out so ni Bora kucheza mpira mbinu zitaamua ikiwezekana mpaka 120 + penalty kuliko kuruhusu magoli ya kijinga kutaka kushambulia haraka ili kumaliza game ....
 
Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.

Iwapo Man City watafanya mistake ya kupoteza mipira bila kuwahi kuichukua basi tutegemee Madrid kufanya control ya haraka kwenda golini kwa City.

Kama kikosi cha City cha first leg ndo kitaanza basi mimi naipa. MADRID USHINDI.
Madrid anategemea counter attack ,najua atatuachia mpira na wao watafunga duka lao mapema ....

Madrid wakiwa hawana mpira wanakuwa na shape ya 4-4-2 ...mbele anabaki benzema na Rodrigo ...

Kutokana na defence yetu kuwa solid katikati wanaamua kupita pembeni Kwa vinn , kumbuka camavinga anacheza LB lakin wakiwa na mpira anaingia kati ,anaongeza nguvu ....

Kama ukiangalia vzuri pep alijaribu mbinu ya inverted midfielders,stone akawa anaingia kati na rodri ,lakin Carlo aliliona Hilo akafunga ukuta mapema ,ndio maana ulikuwa unaona tunpiga Sana back pass ...

Carlo ameshatujulia kuwa sisi ni hatari katikati ,link ya kdb & haaland ,hapa ndio maana anasisitiza kuanza na rudiger & alaba Hawa na wanyama maana walimficha haaland vzuri first leg .....solution hapa ni kupitia pembeni lakin tatizo ni kuwa winger zetu grealish na bernado sio dribbling toward the goal , wanajua kuficha mpira kusubili wengine waje na sio kuforce kuingia Moja Kwa Moja ikiwezekana kufunga wanadribble mpira then wanapiga back pass tenaa......( Kiufupi ni defensive minded)

Last time tunamfinga madrid goli 4 ,tulikuwa na Mahrez & foden kama midifilder,walikuwa wanadribble kuingia ndani na cross kama zote ndio maana goli zote nne zilitokea pembeni na sio kati .....tatizo la Mahrez na foden hawajui kurudi nyuma kuzuia ndio maana tulikuwa tunfunga na wao wanafunga ...
 
Kitakachotufungisha Leo na Madrid ni kimoja tu ...

Madrid kwenye transtion ni hatari mno ,wakipokonya mpira wanakwenda mbele Kwa haraka mno ,hii ni kutokana wako na wachezaji wakubwa vinn anajua kukokota mpira ,high energy+ speed ,modric kupiga pass ndefu kumtafuta benzema ........ndio maana unaweza kuona vin +modric mbele benzema wanaifungua defence yetu kirahisi mno kutokana skills walizonazo ......

Kiufupi Madrid ni defensive team ( wanajua kwenye uefa sio ushindi unaokupeleka final but ni magoli ) ndio maana huwezi Kuta wanatengeneza nafasi nyingi kutuzidi sisi ......na ndio mashindano tanataka hivi ( hili swala mcoacher wengi wanashindwa kujua ) ,,ndio maana morhinno alichukua CL na Porto ( parking bus mentality) kwenye uefa ukiweza kufunga duka lako vzuri basi unawaaibisha hata team kubwa ambao wanaonekana wanajua kucheza mpira ....

Pep naona kabadilika this time ndio maana unaona siku hzii tunacheza mpira wa counter ....

Tukiwa na mpira tunacheza 3-5-2 ,,,dias ,akanji na walker nyuma ,,,stone +rodri wanaingia katikati kuungana na kina gundo ,kdb kutengeneza diamond shape ....kosa ni Moja tu tukipoteza mpira ndio tatizo linapokuja ....maana Madrid watakuja kuattack vin , Rodrigo,benzema na camaving inakuwa 4against 3 ndio maana unaona tunapoteana tukipoteza mpira na Madrid inaonekana wana space nyingi sana wakiwa wanatushambulia baada ya sisi kupoteza mpira ...

Leo katikati patakuwa hapapitiki ( hapa rudiger na alaba wanaukatili mwingi ) Tena kama winger zetu watashindwa kuwa wabunifu kupitia pembeni basi hii game tunaenda kupoteza mapema sana ....

Carvajal + camavinga huu ndio uchochoro wa kupita maana camavinga anapenda kuingia katikati kama Kuna direct winger huo upande unapitika ...
 
Kuna ka clip eti grealish anadaka mishuti ya haaland na kdb kwenye training, vituko vya watu sasa eti wanasema kipara hachelewi kuoverthink unaweza kuta leo anapanga kuanza na grealish kama kipa, [emoji23][emoji23]
 
Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.

Iwapo Man City watafanya mistake ya kupoteza mipira bila kuwahi kuichukua basi tutegemee Madrid kufanya control ya haraka kwenda golini kwa City.

Kama kikosi cha City cha first leg ndo kitaanza basi mimi naipa. MADRID USHINDI.
Madrid inabidi kucheza direct football, especially kama una clinical finisher kama haaland.

Ile first leg kipind ambacho tulikuwa na total control ya mpira, wao walipata goli, sisi tukawa tunapiga pasi tu, hii ni sababu mawinga waliotumika ni natural midfielders (grealish,bernado), wanakupa umiliki mkubwa wa mpira, hawapo aggresive.

Kuwa na natural & aggressive winger kama foden au mahrez atleast inaongeza makali na inasaidia haaland asiwe isolated kule mbele.

Ngoja tuone leo pep atakuja na plan ipi
 
Back
Top Bottom