Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Expect the same XI kama ile ya first legHivi Kwann Mahrez asianze badala ya bernado silva ....
Mahrez amekuwa wa moto game kadhaa nyuma ....
Harafu anajua kutanua uwanja kule pembeni na kucontrol mpira haraka, kudribble kuingia golin na kupiga cross haraka kumzidi bernado .......bernado yeye anajua kukaaa na mpira sanaa
Nawasiwasi tu kuwa Mahrez ni mzito kurudi nyuma kuzuia ,tofauti na bernado silva ...
Guardiola hawezi kurisk game control, tegemea kikosi kilekile kama first leg.Kama pep ataingia na approach ileile ya kutaka kucontrol mchezo, tegemea Bernado ataanza, ila kama atataka tuwe aggressive zaidi tofauti na game ya kwanza, basi Mahrez ndie ataanza.
Wacha tuone ila binafsi ningependa kwenye mbavu ya kulia aanze mahrez leo ili kuongeza directness,kitu ambacho tulikikosa kwenye 1st leg. Tukiweza kupata matokeo ndio aingie bernado kuongeza control.Guardiola hawezi kurisk game control, tegemea kikosi kilekile kama first leg.
This is where madrid comes in[emoji23]Man city have won all of their home matches in 2023 in all competitions.
Etihad is the holy ground.
No room for rodrygo's magic today.
Leo kasema anafanya tactical tweak, ngoja tuone kama itahusisha kufanza mabadiliko kwenye line up ama atabadili approach.Pep kama kweli yupo serious hii mechi inabidi aanze na aggressive wingers, foden na mahrez hii mechi inawafaa kabisa.
Najua grealish lazima ataanza, kwaiyo kule kwa bernado aanze kati ya mahrez au foden, pep anataka tucontrol game bila kutake risks za kupenya golini kwa mpinzani matokeo yake tunaishia kupigapiga mipasi tu isiyo na malengo kama ilivyokuwa first leg.
We have to be more direct, aache uoga wa timu kukosa control ya mchezo, goals are important.
Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.Pep kama kweli yupo serious hii mechi inabidi aanze na aggressive wingers, foden na mahrez hii mechi inawafaa kabisa.
Najua grealish lazima ataanza, kwaiyo kule kwa bernado aanze kati ya mahrez au foden, pep anataka tucontrol game bila kutake risks za kupenya golini kwa mpinzani matokeo yake tunaishia kupigapiga mipasi tu isiyo na malengo kama ilivyokuwa first leg.
We have to be more direct, aache uoga wa timu kukosa control ya mchezo, goals are important.
Hii ni knock out stage mzee ,goli Moja linakutoa kwenye mashindano ....Pep kama kweli yupo serious hii mechi inabidi aanze na aggressive wingers, foden na mahrez hii mechi inawafaa kabisa.
Najua grealish lazima ataanza, kwaiyo kule kwa bernado aanze kati ya mahrez au foden, pep anataka tucontrol game bila kutake risks za kupenya golini kwa mpinzani matokeo yake tunaishia kupigapiga mipasi tu isiyo na malengo kama ilivyokuwa first leg.
We have to be more direct, aache uoga wa timu kukosa control ya mchezo, goals are important.
Madrid anategemea counter attack ,najua atatuachia mpira na wao watafunga duka lao mapema ....Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.
Iwapo Man City watafanya mistake ya kupoteza mipira bila kuwahi kuichukua basi tutegemee Madrid kufanya control ya haraka kwenda golini kwa City.
Kama kikosi cha City cha first leg ndo kitaanza basi mimi naipa. MADRID USHINDI.
Wacha tusubiriLeo kasema anafanya tactical tweak, ngoja tuone kama itahusisha kufanza mabadiliko kwenye line up ama atabadili approach.
Madrid inabidi kucheza direct football, especially kama una clinical finisher kama haaland.Nionavyo mimi, Madrid wanakwenda Etihad kwa ajili ya kutegemea mistake za Man City tofauti na hapo watakuwa tayari Man City kucontrol mpira ata zaidi ya 90% ila kamwe hawatakubali kufuata style ya uchezaji wa kucontrol mpira.