Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
[emoji23][emoji23]sitaki kuamini city hii itamtoa Real madrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]sitaki kuamini city hii itamtoa Real madrid
[emoji23][emoji23][emoji23]Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe nurudi tu kweny timu yako ya zamani ya Arsenal
Kama umebet ukaliwa unaleta hasira zako huku ,pambana kijana ...Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe rudi tu kweny timu yako ya zamani ya Arsenal
Kama wewe Ni shabiki WA mpira sio WA mihemko na kubet inabidi ujitafakari ...timu nzima mwenye auheni ya uhai ni Rodri na bernado silva tu
currently
Okay wewe Si shekhe yahya ....I will be there [emoji23]msimu huu mko hovyo mkiambulia walau FA shukuruni mungu
uko mtamuonea man utd
ila epl na uefa msahau
Arteta anazidi kuimalika aisee ...Hongereni sana Citizens. Mmejitahidi mmecheza vizuri dhidi yetu.
Kweli. Tena tungekuwa fit kidogo kwenye kushambulia tungeshinda hata 1-0. Odegaard na Haaland wana uchovu wa International matches za Norway. Jorginho alibanwa na watu wawili wawili pia akashindwa kupenyeza pass zake. PARTEY hayuko fully fit ila ametusaidia sana maana jamaa hakabiki.Arteta anazidi kuimalika aisee ...
Hii low block aliyocheza Leo ,kudadeki sijui kaitoa wapi ...
Imagine watu wawili wanammark Haaland mipira yote ya kona ,rice alikuwa anakufa na rodri Kila set piece na corner ,gabriel alikuwa mgongoni Kwa haaland Kila anapotembea ...winger zenu zote ziligeuka kuwa LB na RB kiufupi hii game Arteta aliifanyia home work ya kutosha .....Akili nyingi ...kudadeki toa team moja pale weka man U uone Goli ambavyo zingemiminika [emoji23][emoji23][emoji23]
daKama wewe Ni shabiki WA mpira sio WA mihemko na kubet inabidi ujitafakari ...
Arsenal wamekuja na low block ,winger zao zote ziligeuka kuwa LB na RB ,5-3-2 mfumo ,Arsenal walikuwa compact kweli kweli ...
Credit to Arsenal wamecheza vzuri ,Arsenal sio timu ya kubeza ...
Kama ulitegemea tuingie kumfunga Arsenal Goli 5 basi unamatatizo na kashabikie mieleka ...achana na mpira
Title is on ...Kweli. Tena tungekuwa fit kidogo kwenye kushambulia tungeshinda hata 1-0. Odegaard na Haaland wana uchovu wa International matches za Norway. Jorginho alibanwa na watu wawili wawili pia akashindwa kupenyeza pass zake. PARTEY hayuko fully fit ila ametusaidia sana maana jamaa hakabiki.
Sub zenu za Doku na Grealish zilinipa wasiwasi kidogo, ila nikatulia baada ya kuona Grealish hakuna anakokwenda kule kwa Ben White na Doku hata akipita hajui kufunga.
Sio poa ,city Ni dude kubwa ....Sisi tunaona kama lose ..Kwa sasa timu yoyote ikitoa draw na city lazima washangilie, kuanzia Liverpool, Chelsea, arsenal
Hapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayoTatizo ni kucheza huku unaomba Liverpool apoteze ,zimebaki game 9 ....
Kazi kweli kweli [emoji23],,point 3 anatuzid sis Liverpool,hizi Ni point nyingi Sana ,mlima Ni mrefu
Sio sisi, sema "mimi". Wewe na nani? Upo peke yako humu.Harafu nyie wabetiji mkapambane na Hali zenu ...
Sisi tunashabikia timu yetu pendwa kwa mapenzi yetu ,na Leo tumecheza vzuri Sana nyie mnakuja na mihemko ya kubet ..pumbavu ...
Get out from my team f**k