The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hongereni sana Citizens. Mmejitahidi mmecheza vizuri dhidi yetu.
 
msimu huu mko hovyo mkiambulia walau FA shukuruni mungu
uko mtamuonea man utd

ila epl na uefa msahau
 
timu nzima mwenye auheni ya uhai ni Rodri na bernado silva tu
currently
 
Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe rudi tu kweny timu yako ya zamani ya Arsenal
Kama umebet ukaliwa unaleta hasira zako huku ,pambana kijana ...

Timu yetu achana nayooo kabisa ..

The best club in the world Manchester City is there for title race ...
 
Harafu nyie wabetiji mkapambane na Hali zenu ...

Sisi tunashabikia timu yetu pendwa kwa mapenzi yetu ,na Leo tumecheza vzuri Sana nyie mnakuja na mihemko ya kubet ..pumbavu ...

Get out from my team f**k
 
Team imecheza vzuri ,arsenal pia sio team ya kubeza ....

Next Astonvilla ...

The title race is on ...

Hao wajinga na wapumbavu WA kubet ambao wanangali mpira live score let them keep talking shit ....
 
timu nzima mwenye auheni ya uhai ni Rodri na bernado silva tu
currently
Kama wewe Ni shabiki WA mpira sio WA mihemko na kubet inabidi ujitafakari ...

Arsenal wamekuja na low block ,winger zao zote ziligeuka kuwa LB na RB ,5-3-2 mfumo ,Arsenal walikuwa compact kweli kweli ...

Credit to Arsenal wamecheza vzuri ,Arsenal sio timu ya kubeza ...

Kama ulitegemea tuingie kumfunga Arsenal Goli 5 basi unamatatizo na kashabikie mieleka ...achana na mpira
 
Hongereni sana Citizens. Mmejitahidi mmecheza vizuri dhidi yetu.
Arteta anazidi kuimalika aisee ...

Hii low block aliyocheza Leo ,kudadeki sijui kaitoa wapi ...

Imagine watu wawili wanammark Haaland mipira yote ya kona ,rice alikuwa anakufa na rodri Kila set piece na corner ,gabriel alikuwa mgongoni Kwa haaland Kila anapotembea ...winger zenu zote ziligeuka kuwa LB na RB kiufupi hii game Arteta aliifanyia home work ya kutosha .....Akili nyingi ...kudadeki toa team moja pale weka man U uone Goli ambavyo zingemiminika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli. Tena tungekuwa fit kidogo kwenye kushambulia tungeshinda hata 1-0. Odegaard na Haaland wana uchovu wa International matches za Norway. Jorginho alibanwa na watu wawili wawili pia akashindwa kupenyeza pass zake. PARTEY hayuko fully fit ila ametusaidia sana maana jamaa hakabiki.

Sub zenu za Doku na Grealish zilinipa wasiwasi kidogo, ila nikatulia baada ya kuona Grealish hakuna anakokwenda kule kwa Ben White na Doku hata akipita hajui kufunga.
 
Eti wanasema mnaenda kudundwa na Madrid kisa mme draw na Arsenal🤠🤠....hawataki kukubali kwmba Arsenal wameimarika na kukua kiuchezaji...wao walitegemea goli sita kama siku zte...Sasa tuna ombi moja tu jmni...fanyeni mfanyavyo muende fainali FA Ili mkutane na manyumbu myadunde...sisi tutafurahi sana mabraza
Kama wewe Ni shabiki WA mpira sio WA mihemko na kubet inabidi ujitafakari ...

Arsenal wamekuja na low block ,winger zao zote ziligeuka kuwa LB na RB ,5-3-2 mfumo ,Arsenal walikuwa compact kweli kweli ...

Credit to Arsenal wamecheza vzuri ,Arsenal sio timu ya kubeza ...

Kama ulitegemea tuingie kumfunga Arsenal Goli 5 basi unamatatizo na kashabikie mieleka ...achana na mpira
da
 
Kweli. Tena tungekuwa fit kidogo kwenye kushambulia tungeshinda hata 1-0. Odegaard na Haaland wana uchovu wa International matches za Norway. Jorginho alibanwa na watu wawili wawili pia akashindwa kupenyeza pass zake. PARTEY hayuko fully fit ila ametusaidia sana maana jamaa hakabiki.

Sub zenu za Doku na Grealish zilinipa wasiwasi kidogo, ila nikatulia baada ya kuona Grealish hakuna anakokwenda kule kwa Ben White na Doku hata akipita hajui kufunga.
Title is on ...

Game 9 zimebaki mpaka sasa Naona ubingwa upo mikononi MWA Liverpool,ila napata wasiwasi , Liverpool anawezapoteza point Kwa nyumbu maana man utd akikutana na Liverpool anakuwa prime Barcelona...

Muda WA kucheza game huku unamwombea mwenzio apoteze .....Kazi kweli kweli [emoji23]....

Liverpool wanahasira Sana ,ukizingatia Klopp anaondoka ,wanacheza do or die next game ..Arsenal Kazi kwenu
 
Tatizo ni kucheza huku unaomba Liverpool apoteze ,zimebaki game 9 ....

Kazi kweli kweli [emoji23],,point 3 anatuzid sis Liverpool,hizi Ni point nyingi Sana ,mlima Ni mrefu
 
1711915668301.png
 
Hapo liverpool ana Man united, Spurs, Everton, akitoa sare hata moja kazi bado mnayo

Arsenal ana Spurs, Chelsea Man United, anaweza kutoa sare hata mbili hapo

City bado chance anayo ila ni finyu hasa kumkamata Liverpool
 
Back
Top Bottom