Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kiwatengu bhana usinichekeshe!ha ha ha...hivi ukihudhuria party ni lazma usema na ID yako?
Kwanini uogope? while wewe ni mzuri?..
Humu MMU seems watu wanakulana sana
Hmmmm inawezekana ehhh?Mi bado sana kuamini, nimevutiwa tu na mtiririko wa matukio.
Nipo, sema tu siandiki sana.
hadith imekuleta au unahusika maana na wewe mkongwe humu kidding
hadith imekuleta au unahusika maana na wewe mkongwe humu kidding
Interesting shit...ila nauona mkono wa lara 1 kwenye hii stori.
Modified? Exaggerated? Excruciating detail added? If any of these is true, na ulisema hutaki responsibility kwa hii Autobiography.....
Ahahahah
We soma bana..kama nimo.utajua tu...thou sifa zote tajwa sina
hapana!! not her... l
Afadhali my dear maana ungekuwepo kwenye hiyo red least ningezimia u know?
Coz penda sana wewe.
kiwatengu bhana usinichekeshe!
Hivi unaujua umbea wewe au unausikia tu?? Lol
Hapo line ya mwisho teh mimi sio.
Hivi hukumbuki kipindi kile natetea watu kuitwa wabaya nyitu zikanimark kuwa mie ndo mbaya na ndo maana natetea eti ili nijihami!!! Lol
Ooh..hope all is well
Nami leo nimeonekana sana humu. ...hii hadithi imenileta
Ndo u MMU unakua mzuri ila ile ya mashanga ni noma maana yule wateja wote atakua anawapeleka kwake kwenye zana zoteHumu MMU seems watu wanakulana sana
I know namtania tu .mbona.unamtetea kuna ka.agenda nn lol
mi nasoma nitaunga dots lols af ukuje wozap
I know namtania tu .mbona.unamtetea kuna ka.agenda nn lol
Nakumbuka!! sema sijajua identification ya uzuri hapa inafanyikaje!!
coz nikimwangalia shans wangu, ndiyo maximum ya uzuri wa macho yangu!!
btw sura + other things visikunyime kukutana na watu.
Ndo u MMU unakua mzuri ila ile ya mashanga ni noma maana yule wateja wote atakua anawapeleka kwake kwenye zana zote