hakuna agenda!! ila watu wa dar mna mbwembwe sana,
kukutana kwenu lazma muibuke na mistori kibaooo...
Mbona haya mambo hayatokei Arusha? au Mwanza?
jamaa naye ilikuwa bahati maana huyo manzi angekuwa anajuana na Watu8 jamaa angejichoresha tu
Mimi wala sitii neno naangalia tu.
waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana
Mi sijui, I TAKE NO RESPONSIBILITY WHATSOEVER! Unaona wenyewe kwa wenyewe wanakubali 100% VALID, wengine 95% ila mimi kama mimi my part was VERY TRUE sijuikwa wenzangu. Niliponea tu NUSRA NUSRA, ILE ALMANUSRAAA! An i can guarantee you IT WAS NOT A STUPID PLAN AT ALL. Ila it was somebody i dont know, i have never seen, probably i wont rember hata apite hapa. Ikileta RACUS sanaa maybe i should write my own MEMOIR! Hahahhaaaaaaaaa!
Hahahahaaaaaaaaaaaaa! NYIE MBONA MNAONGEA KWA CODE? Who the https://jamii.app/JFUserGuide is silent clear? DONT TELL ME NI BAZAZI ASI?
DONT GO I NEED YOUR HINT KWA HUYU DUME DADA! I really need to know who is he? PLEASE!
Asprin unahusikaje na BINTI MLOKOLE? Au ndo bazazi zee? HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nitacheka mpaka nizimie, kweli shimo la panya halizibwi kwa mkate.
waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana
wajinga ndio waliwao we mtu anakwambia mi watu8 hata hata ushahidi hana unaingia kichwa kichwa
ha ha ha...mtu akikuona mara moja tu!! kosaa.
usiogope lakini we ni mzuri pia.
kijana wa Tarime hajaonekana long time!!
Wahusika na tabia zao ni kweli ni members wa JF...lakini una a very creative and artistic mind that makes me doubt the genuinety of the story....unless uniambie amekusimulia then umetumia maneno yako. Ila siamini kama haya maneno umeyaquote kutoka kwa silent killer kama ulivyosema.
But hey...this is very interesting....
Mbona punde tu kasema we ni kaka,aisee naingizwa mkenge live
Umaarufu wa id ndo ulimpoza,seems anapenda watu ambao id zao ni maarufu MMU
Kuna wakongwe wanafahamiana wakikulana wanakuja kwa id mpya
hahaha yule sijui alizamiaga wapi??
uljuaje kama mi mzuri usinitafutie kesi kwa shan lol