The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

mh! hii episode ya dume dada ina too much Lara 1. Kwa kuangalia mwandiko wa Lara kwa muda niliokaa humu ni mtu anayeshobokea point five. Hata hili jina nilijifunza kwake. Halafu Lara umuulize huyo mwenye ubuyu ni kitu gani kilimfanya ahisi kuwa dada dume ni 0.5 maana ni vigumu kujua rangi za watu kwa kuangalia miandiko. Miandiko inaonyesha tabia tu. Ngoja nikalale na sijui nitatumia njia gani nisishawishike kuchungulia hapa maana kesho nina kibarua kizito. We mtoto balaa wewe!
 
hakuna agenda!! ila watu wa dar mna mbwembwe sana,
kukutana kwenu lazma muibuke na mistori kibaooo...
Mbona haya mambo hayatokei Arusha? au Mwanza?

waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana
 
jamaa naye ilikuwa bahati maana huyo manzi angekuwa anajuana na Watu8 jamaa angejichoresha tu

wajinga ndio waliwao we mtu anakwambia mi watu8 hata hata ushahidi hana unaingia kichwa kichwa
 
Last edited by a moderator:
waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana

Watu wa mikoani wametulia,dar mkifahamiana lazima uje na id mpya unaweza kushikiwa bango una sura mbaya
 
Maaaaaamae!
Asprin.una kesi ya kujibu!
Uliitaja Leo tupo hapa kabla haijatajwa!
Na kuna bazazi zee humu!!

Hiii huponi!
 
Last edited by a moderator:
Mi sijui, I TAKE NO RESPONSIBILITY WHATSOEVER! Unaona wenyewe kwa wenyewe wanakubali 100% VALID, wengine 95% ila mimi kama mimi my part was VERY TRUE sijuikwa wenzangu. Niliponea tu NUSRA NUSRA, ILE ALMANUSRAAA! An i can guarantee you IT WAS NOT A STUPID PLAN AT ALL. Ila it was somebody i dont know, i have never seen, probably i wont rember hata apite hapa. Ikileta RACUS sanaa maybe i should write my own MEMOIR! Hahahhaaaaaaaaa!

Wahusika na tabia zao ni kweli ni members wa JF...lakini una a very creative and artistic mind that makes me doubt the genuinety of the story....unless uniambie amekusimulia then umetumia maneno yako. Ila siamini kama haya maneno umeyaquote kutoka kwa silent killer kama ulivyosema.

But hey...this is very interesting....
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaa! NYIE MBONA MNAONGEA KWA CODE? Who the https://jamii.app/JFUserGuide is silent clear? DONT TELL ME NI BAZAZI ASI?

DONT GO I NEED YOUR HINT KWA HUYU DUME DADA! I really need to know who is he? PLEASE!
Asprin unahusikaje na BINTI MLOKOLE? Au ndo bazazi zee? HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nitacheka mpaka nizimie, kweli shimo la panya halizibwi kwa mkate.

Hujakosea. Mi ndo mwenyewe. Bazazi zee la MMU. Na mlokole nilimkagua kama ninavyokagua mabinti wengine humu.

Umenipatiaje??? Khaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana

ha ha ha...mtu akikuona mara moja tu!! kosaa.
usiogope lakini we ni mzuri pia.

kijana wa Tarime hajaonekana long time!!
 
wajinga ndio waliwao we mtu anakwambia mi watu8 hata hata ushahidi hana unaingia kichwa kichwa

Umaarufu wa id ndo ulimpoza,seems anapenda watu ambao id zao ni maarufu MMU
 
Maaaaaamae!
Asprin.una kesi ya kujibu!
Uliitaja Leo tupo hapa kabla haijatajwa!
Na kuna bazazi zee humu!!

Hiii huponi!

Hahahahah lol kanipatiaje? Hakyamama hapa sina ujanja. Khaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Wahusika na tabia zao ni kweli ni members wa JF...lakini una a very creative and artistic mind that makes me doubt the genuinety of the story....unless uniambie amekusimulia then umetumia maneno yako. Ila siamini kama haya maneno umeyaquote kutoka kwa silent killer kama ulivyosema.

But hey...this is very interesting....

HAHAHAAAAAAAAAA! Nimetia my creativity na narration but matukio ni RECALLED AS THEY HAPPENED. Ningeandika as retrived PANGECHIMBIKA MDAAA! Hivi tu hali ya hatari ishatawala.:lol:
 
Umaarufu wa id ndo ulimpoza,seems anapenda watu ambao id zao ni maarufu MMU

ila basi umekutana na mtu anajifanya ye flan hata humwambii log in nione unaingia kichwa kichwa nahisi alikuwa age imeeenda huyo dada lol alishajikatia tamaa kama ni kweli
 
Back
Top Bottom