Mie nishakupa angalizo kitambo tu....angalia raia wasijechomoka na tendons za miguu yote ubaki kuiona michuchumio kwenye miguu ya wenzio...
Nilewe saa ngapi wakati umeniweka kutwa nzima hapa namfuatilia silent Killer. Nachomshukuru Mungu hao wote uliosema kawapitia hakuna koloni langu hata moja.
mwambie huyo bweg.e asijepitia kwenye anga zangu. Mi nshakanyaga miwaya atakufa na kaumri kake ka kuku.
Ntachangaya na kabrasha la bazazi mkuu Mtambuzi. MMU itafungwa kwa muda kupisha amani itawale. Hakyamama
Hahahaahaaaaaaaaaa! Umeona ujitangaze una miwaya ili wakususie eeeeeh! Kweli mbinu zinabadilika.
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! Naona Silent Killer kawafanya mabazazi muonekane AMATEURS! Umemsahau MAXMALIPO! Nasikia nae yumo yumo, i ze dont know, hili la sahivi langu sio la silent killer!:lol:
Hahahahah lol kanipatiaje? Hakyamama hapa sina ujanja. Khaaa!!!
Hahahahahahahahahaha,uuuuuuuwih!!
Wallahi lewooo kende zimekuwa ndogo kama punje za ngano!!
Hahahahaha cacicooooooooooooo ukuje!
BADILI TABIA njoo shogaaangu!
Kongosho mume wenu kataitowa huku!!
Aseeeeeeeeh
Yaani hazbendi umetuangusha sana.... utachunwaje uzeeni??? Sasa wewe team bazazi au team kuchunwa hadi ngozi???
Acha tu....
Roho imeuma kuona le hazbendi ni bazazi zee....
Halafu anachunwa Tu... sasa bazazi atachunwaje? Si kuaibisha team bazazi na wakeze??
Inabidi kuita kikao cha familia.... wakeze wote tukutane tuamue adhabu ya kumpa ....wapi Kongosho, cacico
Mume keshaharibu huku
Asa ndo mpaka uwaite wake za ujana wangu? Kwa taarifa yako cacico alinisaidia sana kumpata mlokole. wake zangu hawana wivu kiviiiile
Wifey.... niko tayari kwa adhabu yoyote isipokuwa ile ya kunibaka kama mlivyonibaka siku ile....
Mbona unanibania lkn?? Kwann umeweka grill?
Duuuh MMU ni zaidi ya uijuavyo!!
Mtani jirani watu wakapigia korasi jina lako ?Hadi sasa 'silent killer' ashaanza kuonekana onekana kwa mbaaaaali...
Ngoja tusubiri episodes mbili zijazo tufanye komfimatori testi ya udukuzi na ufukunyuku...
Huyu binti mlokole nisha m-guess