The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

ila basi umekutana na mtu anajifanya ye flan hata humwambii log in nione unaingia kichwa kichwa nahisi alikuwa age imeeenda huyo dada lol alishajikatia tamaa kama ni kweli

Wala age haijaenda.Umesahau amesema ni kadogo tu na mambo hakayajui wala nini.
Basi tu ni mburula kadanganyika kijinga sana.
 
mh! hii episode ya dume dada ina too much Lara 1. Kwa kuangalia mwandiko wa Lara kwa muda niliokaa humu ni mtu anayeshobokea point five. Hata hili jina nilijifunza kwake. Halafu Lara umuulize huyo mwenye ubuyu ni kitu gani kilimfanya ahisi kuwa dada dume ni 0.5 maana ni vigumu kujua rangi za watu kwa kuangalia miandiko. Miandiko inaonyesha tabia tu. Ngoja nikalale na sijui nitatumia njia gani nisishawishike kuchungulia hapa maana kesho nina kibarua kizito. We mtoto balaa wewe!

Hio dume ni 0.5 ni speculations alizosikia toka ufukunyuku,huyo mtu anavodai hakuna anaemjua. Hatumi picha, na kama mdada anamuona siku ya kugegedwa. Hakuhisi alitonywa na wauza ubuyu humu ndani. Kama wanavosema Asprin mzee. Mfano!
NA MKINIPA HINT DUME DADA NI NANI MBONA SIKAII KUMSHOBOKEAAAAA! :lol:
 
Hujamjua dume dada ni nani? Hahahaaaa pole sana, Hata mimi wa juzijuzi hapa MMU Lakini tayari nimesha mjua.

By the way it's too late caz ulisha mshobokea sana yani.
Hint: cheki nimejiunga lini JF then from that time to date Angalia nani ulikuwa una mshobokea sana,😄😄😄😄
 
ila basi umekutana na mtu anajifanya ye flan hata humwambii log in nione unaingia kichwa kichwa nahisi alikuwa age imeeenda huyo dada lol alishajikatia tamaa kama ni kweli

haahhaaa mine wanatuchora tu huko waliko
mitusi yote tunatukanwa
kkaaqhhh wanawake sie
 
Hujamjua dume dada ni nani? Hahahaaaa pole sana, Hata mimi wa juzijuzi hapa MMU Lakini tayari nimesha mjua.

By the way it's too late caz ulisha mshobokea sana yani.
Hint: cheki nimejiunga lini JF then from that time to date Angalia nani ulikuwa una mshobokea sana,😄😄😄😄

Embu nipe ubuyu pm huo, Mimi nawashobokea wengi. VinD mweupe sawa ila mmakua kabisa yuleee jamani. Wengine wabongo tu. Or maybe sijui kama ni half cast. Please do the needful PM.
 
Back
Top Bottom