The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

hhahahhaaa hauwezi mziki wa watoto wa mjini huyu!!

leo silalii

Yaani ucngizi unakuja na kupaa wenyewe, naona na mume wangu Viol leo hataaaa hanisumbui tunakesha wote
 
Last edited by a moderator:
THE AUTOBIOGRAPHY CONTINUES.

Broken heart along the way nilimchoka kiukweli nikamfanya tu mshakaji, mpaka sahivi mshkaji. Sikumgongaaa! Na huu mkakati wangu wa kuja kutoa hii autobiography kumla broken heart ikawa complicated. Na kama ujuavyo ndege ukishamfuga ni ngumu kumla, manake unaanza dhamira kukusuta. Basi tumebaki washkaji.

My hunger and craving for MMU stars ikaanza upyaaa! Lucky for me Le Party ya Escape ikawa imefika. Bahati mbaya nikamchelewa nikakuta Lara 1 na mdogo wake sijui shosti wake wameondoka. Kuna mtu akasema walisema wanaenda Mzalendo, nikaona nitafune kwanza toto zilizopo huyo nitkaa na halmashauri ya kichwa changu nimtafune vipi. Nikakaaa na totoz zilikuwepo si uongo.

Nimetoka pale nikawaza sijui nitumie mbinu ya imposture au vipi! Lakini Lara is smart, lazima nimtafutie mbinu mbadala! Imposture akistuka itakula kwangu mazimaaa, nimengoja almost mwaka kufanikisha hili, i was not going to blow that up.

Basi party imeisha nikaandika kauzi kangu kazuriiiiiii sanaa humu humu MMU. Nikaisifia party ila nikaweka angle yangu PARTY ILIKUWA NA WADADA WENGI ILA MMOJ TU NDO KANIVUTIA, NA KUUTEKA MOYO WANGU. Mpo hapo? Najua mshaanza kuniona boya flani lakini si hivyoooo, mwenyewe nina BIGGER PICTURE mbeleni huko na hio post. Vita vya msituni ukitaka kuivua mipapa sugu kama kina Lara 1 si vita kabisaa, wanapenda attention, so you draw the attention. Huwezi kuwatongoza kimya kimya wakubali, unawatongoza hadharani tu kama hivi!

Actually mnaweza kuhisi ile post nilimuandikia Lara 1 na nini, mavi yake hata siku moja, mi niliandika vile kama WAVU TU NIVUE SAMAKI YOYOTE ATAEINGIA MTEGONI. Awe Lara, au vidagaa vingine. Ahakum si matusi the plan was larger than i imagined. Baada ya hapo nikaanza kumchokoza Lara 1, nimekuona, nilikupendaa,nimeshindwa kujizuia nimekuandikia thread. Basi akajiona babu kubwa kichiziii. Akadataaaaa! Huku mademu wengine wa kwenye ile party nao nawaambia hivo hivo that some one special ni wao. IN REALITY NO ONE WAS SPECIAL! IT IS ME THE SILENT KILLER REMEMBER!:lol:!

Lara kaingia kingi na shoga yake walie kuja nae. Mpango ulikuwa kutumia DEVIDE AND RULE. Nikaanza kumpiga biti yule shoga ake kuwa Lara ni shangingi hakufai, jiepushe nae, hivo ili tu wasinigundue, niwale woteee ikibidi.

Lara nikampromise dinner kwanza, mshenzi yule akachagua EL EPIDOR Masaki Lebanese food! WTF! Nataka kula shishaaa, nyokoooo, Nikasema sio issue, nampeleka. Kweli tukaenda Lebaneseee, well i still need this autobiography written nikimwaga ubuyu wote anaweza kughairi. Ila Albasha alikuja afu hana hata hayaaa. Na aliniboa kweli kweli si utani. Kwanza umpe hela ya usafiri in advance kwenda na kurudi. Khaaaaaa! Nikampa. Akaja. Akazidi kuniboaaa,yaani huyu mwanamke hajafundwa kabisaaa. Yaani ni ghetto snob! Nashukuru alikunywa maji mana pale pombe hawauzi au hakujua wanauza.

Alichoniboa it is a first date, kuoda chakula kaniambia mimi nianze kuoda, kweli nikahisi labda ana busara, mimi nikaoda msosi wa sh 80 elf kila kitu kuanzia starter mpaka desert. Kama mwanamke yeyote ukiwa first date inatakiwa usiode chakula bei inayomzidi mwanaume! Haifai kabisaaa kabisaaa! Tena ni dharau kubwa kula cha bei ghali kuliko ninae lipia. Sasa bibie kaangalia menu kaod SPECIAL OF THE DAY kwa 120,000/= Maninaaaaaaaa! Nilikerekaaaaaaaa sio utu wala ustarabu. Kwanza mwanamke unatakiwa uode chakula nusu ya bei yangu. Kilivokuja kikamshinda kula, kaonja onja kaacha. Manina square. Alinitokaaa! Nikasema walau nitapata chiu wa kunipooza labda. Wapi, kamaliza huyooo.

Nikasema nitampata tu, sio kesi. Huku naendlea kumpanga shosti wake na watu wengine wa party separately. Sasa ikaja zamu ya kumtoa yule shoga ake sasa. Hana makuu. Anataka kwenda for drinks tu, nikahisi huyu lazima mlevi sio buree. Nikamua kumpeleka bar BRAJEC. Anywee mpaka ajinyeee. Basi tumefika na nini demu anapeleka maji kishenziiiii. Halewi, halagei. Alichoniboa akakutana na wadada wenzie, akakomaa kuodoka nao wanaenda East 24 sijui nikasema mmmmh! Hivi vina virefu. Anyway ngoja nione. Na mimi nikakomaa kwenda East 24 vile vile, hawawezi kuniacha kibwege. Bia zote alizokunywa mchezoooo? Mxiuuuu! Bwana wee mara wana hama tena, na huko East 24, wadada wa 3, wote nawanywesha mie, ila kuwanawa niliwanawa si uongo, kubambia tuuu, kwa snaa, nainua yoyote. Alaaaa. Tukahama nimooo. Mwisho kukakucha nikarudi home.

Nikapanga mtoko mwingine na Lara 1, safari hii green acres house, Mashujaa walikuwa wanapiga siku hio. Kidate saa 12 jioni. Basi mimi nimeenda nawaza leo hata kama nini nakula mzigo asiniletee uhuni. Nimepaki Ze Altezza nje kwa mbwe mbwe Nikawa nimeingia namtafuta sasa coz sahivi namjua. HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII! Mama weeeeeeeeeeee! Balalaaaaaaaaaa! Kucheki hivi wako na yule shosti wake wamekaa wananitazama afu nyuso za shari. Mmmmmmh! Nikabreki kwanza. Nikawaza nikawazua nikaona nipige u turn nikimbilie kurudi kwenye gari! Kucheki nyuma wanakuja kwa kutembea kwa kasi maana wangekimbioa noma, hawakutaka umati, ujue. Nikaingia kwenye Altezaa nikaloki milango na vioo. Nikaona wana rap tu, huyooo nikaishiaa na Altezza yangu. Hahahahaaaaaaaaaa! Sijui wanasimulianaga mabwana siji, sijui alimualika bila kujua nampango wa kumla sijui,!

Kama unahisi nilikoma, walaaa sikukomaaa kabisaaa! Baada ya tukio hilo nikajigeuza MBEB BOX humu MMU nimle mtu! Hahahaaaaaaaaaa! (Hii sasa kesho. Kwa leo imtoshaaa).
 
Yaani ucngizi unakuja na kupaa wenyewe, naona na mume wangu Viol leo hataaaa hanisumbui tunakesha wote

Leo sina usingizi mpenzi,nataka niangalie movie moja ya naija ndo nilale
 
Last edited by a moderator:
hivi hamna mtu mwenye fake ID nyingine atutajie hao wahusika haraka haraka, ata akipigwa ban anarudi kwenye ID yake.... au anipm mimi majina niwataje
 
waaache waanikwe wanastahili wamezidi ulain maharage ya mbeya yana afadhali (kidding)
mi ndo watu mana wa humu nawaogopa sana

mimi huyo niwemo kwenye list never on earth lol kwanza kupata namba yangu ni kibarua kigumu sana kuliko kufuzu ukomandoo FBI lol

ha ha ha umenikumbusha hayo mashauzi yaanii hamna lolote
 
Back
Top Bottom