Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Series nitaanza kuangalia next week now nataka movie maana kuna ishu imenibana
Mbona unanibania lkn?? Kwann umeweka grill?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Series nitaanza kuangalia next week now nataka movie maana kuna ishu imenibana
Poa mpenzi ushaanza kusinzia eeh
Hahahahaha...Story inaendelea ujue..sasa iko WP ya escape one...
Kwa leo imeishia Escape 1, Episode ya Mbeba Box ambayo ndio ya mwisho kabisaaa KESHO ASUBUHI then itafatiwa na conclusion ya THE SILENT KILLER, JE ANASTAAFU, AU ANAENDELEA KULA MAMBO!
Hahahhaaaaaaaaaaaa! Mi simoooooo! SAHIVI DONT YOU THINK YOU NEED SOME NEW MEAT!:lol: Au na wewe yakheee wala mizogaaa?:tape2:
Shauri yako....we tibua maji ya mtoni kumbe wenzako wanatumia kunywa.
! Mama weeeeeeeeeeee! Balalaaaaaaaaaa! Kucheki hivi wako na yule shosti wake wamekaa wananitazama afu nyuso za shari. Mmmmmmh! Nikabreki kwanza. Nikawaza nikawazua nikaona nipige u turn nikimbilie kurudi kwenye gari! Kucheki nyuma wanakuja kwa kutembea kwa kasi maana wangekimbioa noma, hawakutaka umati, ujue. Nikaingia kwenye Altezaa nikaloki milango na vioo. Nikaona wana rap tu, huyooo nikaishiaa na Altezza yangu. Hahahahaaaaaaaaaa! Sijui wanasimulianaga mabwana siji, sijui alimualika bila kujua nampango wa kumla sijui,!
Hulalaaaaaaa....kwahiyo nanihii na kina nanihiii ndio mizoga eeeh....astaghafirulah laadhim
CC....tag mwenyewe
Aisee we loud killer ulipotelea wapi??
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Usinitie kesi mimi, SITAKI DHAMBI ZA BUREEE MIE! Akhaaaaaaaaaa! Nyie hisianeni weeeeee lakini bottom line is SILENT KILLER kabadilisha kanuni za mchezo.:lol:
Alafu imagine kila mtu angenyamaza ingekuwa just another small talk, ila reactions ndo zina upa uhai scene za SILENT KILLER!
Nilikuwa nabemendwa na lara 1....kanizeesha vya kutosha huyu mtu maana hakuna anachojua zaidi ya migegedo heavy weight...
nakuona unawakilisha bazazi family....yule raia anaitwa Nicas Mtei yupo nchi hii?
Kama hii stori ni kweli basi Kwa hili Tukio there is no way Lara 1 usimkumbuke huyu silent killer alikuwa ni nani! Lazima unamjua na kumkumbuka vizuri sana
Huyu Nicas Mtei na bazazi mwenzie KakaKiiza wanahitaji thread yao ya kujitegemea. Naandaa makabrasha nimrushie laramoko afanye mambo yake. Kutakuwa hakuna kuficha majina....
Huyu Nicas Mtei na bazazi mwenzie KakaKiiza wanahitaji thread yao ya kujitegemea. Naandaa makabrasha nimrushie laramoko afanye mambo yake. Kutakuwa hakuna kuficha majina....
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!! Uju Asprin utaniua kwa chekooo, kwa mambo yako ya kijingaaa. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Nacheka na mengi humo ujue. iLA aSPRIN SIJUI UMELEWA SIJUI!:lol: