The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

Abdul - Kijana mpendwa wa Mama
Waziri Salum - Katibu binafsi wa Mama

Ogopa watu wakimya na wafis dini huwa wana uchafu mwingi sana

Tuendelee kuhesabu nukta...
Huyu Waziri yupo benet na Samia kila sehemu.Binafsi sijawahi ona katibu binafsi wa Rais akiwa benet na Rais kila sehemu.
Halafu huyo Waziri elimu ya kuunga unga tu.Ila ndo hivyo Uzanzibari umembeba.
 

Nchi inaharibika sana hii. Kuna mambo yanakera mno
 
Sana tena walianza Mama Abdul akiwa Vice P. Kwa nchi inayojitambua, Mama hakuwa na sifa za kuwa Raisi. Naona muendelezo, watakomba kila kitu. Watanzania sijui tulikosea wapi!!!

Moja ya project zetu za hovyo za kufanya experiment za uongozi. This project has failed miserably. Na waliofanya hii project sijui wanajisikiaje
 

Times change...jana sio leo Arifu
 
Kuna mapacha wanne Abdul, Rostam, JK na Makamba
 
Tunataka Katiba Mpya itakayoruhusu Raisi kushtakiwa na kuburuzwa Mahakamani kwa Rushwa Upigaji na Wizi wa Mali za Umma.
KATIBA MPYA NI SASA ✌️✌️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…