Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
DS ya Taifa hili ipo kwa niaba ya kulinda kundi la wachache wezi kwa kuumiza kundi la walio wengi kwa kulinda mali zao na nafasi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Waziri yupo benet na Samia kila sehemu.Binafsi sijawahi ona katibu binafsi wa Rais akiwa benet na Rais kila sehemu.Abdul - Kijana mpendwa wa Mama
Waziri Salum - Katibu binafsi wa Mama
Ogopa watu wakimya na wafis dini huwa wana uchafu mwingi sana
Tuendelee kuhesabu nukta...
Abdul - Kijana mpendwa wa Mama
Waziri Salum - Katibu binafsi wa Mama
Ogopa watu wakimya na wafis dini huwa wana uchafu mwingi sana
Tuendelee kuhesabu nukta...
Waziri ni mtu wa Morogoro.Huyu Waziri yupo benet na Samia kila sehemu.Binafsi sijawahi ona katibu binafsi wa Rais akiwa benet na Rais kila sehemu.
Halafu huyo Waziri elimu ya kuunga unga tu.Ila ndo hivyo Uzanzibari umembeba.
Kikatiba huyohuyo, but ana madudu na hayo mengine yanakuja na bado atakuwa Raisi kwa kipindi kijacho.
Mzanzibar huyo wewe.Kwani Wazanzibari huku bara wapo wengi na wamekuwa kama wazawa.Baba yake ni Mzenji pure .Huyo Waziri hata shule alienda kurudia Zanzibar.Waziri ni mtu wa Morogoro.
Wee usiniambie!Mzanzibar huyo wewe.Kwani Wazanzibari huku bara wapo wengi na wamekuwa kama wazawa.Baba yake ni Mzenji pure .Huyo Waziri hata shule alienda kurudia Zanzibar.
Ngoja tuone moambanonkayi ya wenye fedha na wazalendo wasio nacho. Nawaonea huruma wazalendo, maana nchi hii wezi wanaitwa wajanja.Wrong assumption. Angalia turn of events in next 6 months
Hakuna, tunahitaji watu wapya, fikra mpya. Ila hawa wa kuwaza 10% kila mradi, tuna safari ndefu sana.kuna kiongozi wa CCM amabae ni msafi?
Hakuna, tunahitaji watu wapya, fikra mpya. Ila hawa wa kuwaza 10% kila mradi, tuna safari ndefu sana.
Tatizo unaing'oa anaingia nani mkuu!hakuna suluhisho zaidi ya kuing'oa ccm madarakani tu, hiyo ndio hatua ya kwanza.
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Tatizo unaing'oa anaingia nani mkuu!
Kina Mbowe?
Hao marafiki kitambo sana sio jana wala juziBila shaka huyo ni Sameer Karim Alibhai, mtoto wa mwenye Shoppers. Combination na Abdul imeanzia mbali sana. 🤐 nitarudi baadaye...
Sana tena walianza Mama Abdul akiwa Vice P. Kwa nchi inayojitambua, Mama hakuwa na sifa za kuwa Raisi. Naona muendelezo, watakomba kila kitu. Watanzania sijui tulikosea wapi!!!
Even if it’s well Documented so what 🙄?
They are also well prepared for anything to come whatsoever 😳
Shamba la Bwana Heri ………
Umemention enzi za JK , kwani kipi kimefanyika mpaka saa hii ?
Na kipi unafikiri kitafanyika baada ya hicho ulichokisema- ni suala la muda tu ???😳🤠🤠🤠
Kuna mapacha wanne Abdul, Rostam, JK na MakambaKuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Wanatakiwa wafungweMoja ya project zetu za hovyo za kufanya experiment za uongozi. This project has failed miserably. Na waliofanya hii project sijui wanajisikiaje