Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Utunzi wa sheria wa wanaojua tu kusoma na kuandika🤔.Unategemea kutungwa sheria yenye akili na yenye kulisaidia taifa,badala ya werevu wanaowatumia vyema watunzi wa kujua kusoma na kuandika pekee.Famasiara nini☺️Sheria zetu ni mbovu hawa wahuni ilibidi wawajibishwe kama China wanavyofanya kwa mafisadi