The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.

Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?

Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?

Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Makonda alishamwambia atawanyike
 
Ila ifike mahali Mzee wa Msoga ajitafakari na kuona namna alivyotenda sivyo enzi zake kwa mikataba ya kishezi na kifisadi akishirikiana na hawa watu!

Bado anaendelea kushirikiana nao ktk ambo ya kifasadi na wizi kila uchwao bila kujali kuwa analipwa mabilioni kwa kodi za wananchi anaowadhulumu!

Wazee wenye hekima akina Butiku, Warioba na Pinda hebu mkemeeni huyu mtu kwani tunaona Usalama nao wako ndani ya "mtego"
Hujui usemacho
 
Yule alikuwa anapenda kujipa hata asivyokuwa navyo. Je kweli TZ ilikuwa donor country? Ukweli ni kuwa hakuwa na nguvu hizo
Unachanganya madesa

Two different contexts

He was a dreamer and a doer

He did recommended dr samia… doer
He did boast that e are a donor country … dreamer
 
Even if it’s well Documented so what 🙄?

They are also well prepared for anything to come whatsoever 😳
Shamba la Bwana Heri ………

Umemention enzi za JK , kwani kipi kimefanyika mpaka saa hii ?
Na kipi unafikiri kitafanyika baada ya hicho ulichokisema- ni suala la muda tu ???😳🤠🤠🤠

Eehhh!
Tunashukuru Sana
 
Katika watu ambao makonda anatamani kwenye 18 zake basi ni huyo mzungu pori maana tangia enzi akiwa UVCCM alikuwa akimpigia kelele aondoke alivyoiba vimemtosha.
 
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.

Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?

Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?

Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Kingmaker.......
 
Back
Top Bottom