Old junks buda, as old as 30 yrs ndio unaweka humu!? feel shame.Images of the Nairobi commuter dmus in spain, including inside look from manufacturer website. By the way they travel at 100 km/h
View attachment 1511276
View attachment 1511280
View attachment 1511284
Vitu vyote ulivyovielezea hapa ambavyo ndio ndoto yenu vinapatikana Tz [emoji3][emoji3][emoji3]hii project itakua noma..watajenga hadi viaduct....tayari niliona KENHA waki advertise tender about hio bridge yenye itapitia juu apo kwenye hizo barabara za reli..the below brigde itajengwa...pamoja na commuter railway na nairobi expressway double decker highway ,BRT..kenya will now take south africa head to head interms of infrustructure.. View attachment 1508705
Si ni kama hii tumecopy from kenya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Lakini kuongea ukweli wivu ni mbaya, but expect copy cats to copy as usual,wakiona kenya wamefanya pia wao wanafanyaView attachment 1508819
Sio mipango, tayari huku ipo[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] eti mipango??
Nani hana mipango hii dunia? South Sudan wanampango wa kua na SGR lakini hawana hiyo SGR same as Tanzania
That's idiocy! you bragging on something you see on twitter! stuff still at Mallorca not even in Kenya yet! by the way that stuff has been going on for ages as a propagation, its one of those white elephant thingy!48 more are coming up in Nairobi and by 2022 they will be completed. Charles Hinga has confirmed on his twitter account
Sisi tulianzisha hizi treni za mijini kabla ya magufuli kuwa raisi ila baada ya magufuli ndiyo kaweka njia zote 3 za reli kutoka 1 tuliyokuwa nayoLakini kuongea ukweli wivu ni mbaya, but expect copy cats to copy as usual,wakiona kenya wamefanya pia wao wanafanyaView attachment 1508819
Ukiondoa izo electric poles, track inakaa MGR. Heri class 2 ya EthiopiaSi ni kama hii tumecopy from kenya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1511455
Ona huyu alivyo hana akili, jmn angalieni Wakenya walivyopagawa eti anasema tukiondoa hzo poles inabaki mgr, kwahyo amekubali kwamba ile yao ni mgr cz haina poles [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukiondoa izo electric poles ,track inakaa MGR,
Heri class 2 ya Ethiopia
Sio sababu France au Portugal wakiuziwa nanyi mnunue, hujui kilichopo nyuma ya paziaZimeuziwa pia France na Portugal. Kwa hivyo France na Portugal pia ni dumping ground ya scrapers?
Vipi mamba wameamua kulegeza kamba kwa sgr phase 1 ama bado wameshikilia hawatoki?Old junks buda, as old as 30 yrs ndio unaweka humu!? feel shame.
HAHAHAHA, How is sgr phase 1 coming along? It is one year late and still at 70%. Have the crocodiles decided to be cooperative? If I were you I would be more worried about your failed projects than actual functioning Kenyan projects.That's idiocy! you bragging on something you see on twitter! stuff still at Mallorca not even in Kenya yet! by the way that stuff has been going on for ages as a propagation, its one of those white elephant thingy!
Wewe ndio unajua??Sio sababu France au Portugal wakiuziwa nanyi mnunue ,hujui kilichopo nyuma ya pazia
Mtu anayejua magari hawezi ongea upuuzi huoUnazungumzis mark II kuwa serious kidog bas.
Hiyo migar kwa tz ni zakutafta sanaa . gari inauzwa mpka laki 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Track zenu local sanaOna huyu alivyo hana akili, jmn angalieni Wakenya walivyopagawa eti anasema tukiondoa hzo poles inabaki mgr, kwahyo amekubali kwamba ile yao ni mgr cz haina poles [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu na ww weka yenu tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Track zenu local sana
Non sense! Are you still talking about that contemporary boy's song of a 'failed state' now? oh boy! do you even know that a failed state has been predominantly reflecting on Ke Gov? not to mention duress brought you lot into that, i think you probably know from the ĺists mentioned by others, factors like corruption, tribalism, arrogance, ignorance etc.HAHAHAHA, How is sgr phase 1 coming along? It is one year late and still at 70%. Have the crocodiles decided to be cooperative?. If I were you I would be more worried about your failed projects than actual functioning Kenyan projects.
Kenya sgr: (14 double stack and single stack cargo trains a day over the last 2 years, over 1.5 million passengers a year, 210,000 teus moved from January to April 2020). Fully functional and adding economic gain to Kenya by introducing efficiency.
Tanzania sgr: Not yet complete and 1 year late, still no functional train station, no trains. Tanzanians still singing how a non existent project is better than a fully functional and operational one in Kenya.
Eti new[emoji23][emoji23][emoji23]Nini Gari? Nimenunua tractor 3 new
Naona picha ni zile za kutoka November mwaka jana. Yani bado hamjamaliza phase 1, km mia 200 pekee? Kweli uvivu ni ugonjwa na adui ya taifa.Hebu na ww weka yenu tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1511751View attachment 1511755View attachment 1511757View attachment 1511760
Kwn unateseka auu.Naona picha ni zile za kutoka November mwaka jana. Yani bado hamjamaliza phase 1, km mia 200 pekee? Kweli uvivu ni ugonjwa na adui ya taifa.
HAHAHAHAHA, From your username I know you are high on blind nationalism and mediocrity. Here are the facts ,stop debating on things unrelated to the discussionNon sense! Are you still talking about that contemporary boy's song of a 'failed state' now? oh boy! do you even know that a failed state has been predominantly reflecting on Ke Gov? not to mention duress brought you lot into that, i think you probably know from the ĺists mentioned by others, factors like corruption, tribalism, arrogance, ignorance etc.
Aaand hang on! what about sorting out that huge chinese debt and corona cock up?