The new Nairobi commuter trains are mouth-watering and are on the way to Mombasa port

Hahahaha, logic ya ninyi kununua used old DMU ni kwasababu nchi zingine za Ulaya zimenunua au mumeangalia uwezo wenu wa kuweza kuziendesha?, tatizo lenu ndio hilo ninyi wakenya, kwasababu Chris Kirubi amenunua Private jets, basi inahisi ni sahihi kwa Hassan Joho kununua private jets, tumieni akili zenu vizuri.
 
Mandarin weaponized contracts 🙌🙌
 
Mandarin weaponized contracts 🙌🙌

Hahaha hatari sana hao watu. Mnajadiliana vizuri kwa karatasi za kingereza ila wakati wa kutia sahihi ni mandarin documents. Kifuatacho utaweka mikono kichwani.
 
Hahahaha, kwanini Uganda hawafi?, stupid Kenya, hamna lolote mnaloweza zaidi ya tribalism and Corruption. Uganda inawazidi, Rwanda inawazidi katika kupambana na Corona, vipi mtaweza kujilinganisha na Tanzania, jaribuni kufungua shule na vyuo, na msichukue tahadhari yoyote ikuwemo ya kutovaa masks na kuruhusu michezo kama tulivyo Tanzania muone kama hamtoizidi USA katika idadi ya vifo, Kenya ni failed state huwezi linganisha na Tanzania.
 
COVID-19: Why Uhuru Should Consult Magufuli as Another Lockdown Looms in Kenya

Hahahaha, hahahaha
 
Wameanza kejeli masengenyo na uongo. Commuter trains za Tanzania ziko wapi?
Usisahau hii ni part ya commuter railway programme ..kuna ile ya electric railway yenye itajengwa na france..from JKIA to CBD town..itakua noma sana...its is part of this project..https://www.youtube.com/watch?v=E2D8dDx1Rb8&t=121s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…