The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

Pascal Mayalla Watabirie tena hawa Ufipa kuhusu miaka 5 ijayo, na hasa hatima yao ya 2025, kama zile posti za "wakiambulia hata mbunge mmoja wapongezwe!" Au ndiyo hawako kwenye ramani ya siasa kabisa mazima???
Mkuu Jasmoni Tegga , siasa sio utabiri ni ubashiri, utabiri unafanywa na watabiri, ubashiri unafanywa na mtu yoyote. Baada ya Chadema kupata kipigo cha mbwa mwizi kwa kukataliwa na wananchi, manusura ya Chadema kuendelea ku survive na sauti zao kusikika ni kupitia viti 19 vyake vya wabunge maalum, wakiendelea kususa, hata 2025 itakuwa mbali, Chadema wanakwenda 6ft under sooner than expected, and that will be the end of it na biashara yake inaishia hapo!.
P
 
Jitahidi uteuzi haujaisha bado
 
Wasipokuelewa na hili, nawe wasusie tu maana, of course, hawakulipi kwa kuwashauri halafu hata hawaoneshi dalili za kusaidika wala ushirikiano!
 
Ulikuwa uchafuzi P🤸🤸
 
Wasipokuelewa na hili, nawe wasusie tu maana, of course, hawakulipi kwa kuwashauri halafu hata hawaoneshi dalili za kusaidika wala ushirikiano!
P ndio anawashauri Chadema,ungeniambia mshauri Kwa wanachukua chako mapema (ccm) ningekuelewa🏃🏃
 

Mi nashauri maandiko ya hovyo kama haya yawe yanfutwa ili kumtunzia heshima Bwana Paschal!
 
Duh kweli akiliona hili bandiko lake kuwa baada ya uchafuzi na ccm kubaki peke yao bungeni je wananchi wameboreshewa maisha kiasi gan.

Kuna wapumbafu wengi sana Tanzania na wengine wanasikilizwa sana.
 
Flash back....
 
Flash back....
Aisee. Imetosha. Mkuu, staha kwa mkuu PM. Jiwe alikuwa alive and kicking wakati ule. Mkuu PM hakuwa na budi ya kujipiga self-censorship ili aendelee ku-survive! Alikwisha onja muziki mzito wa Jiwe ikabidi apige u-turn ya kufa mtu!

Imagine, aliwabashiria CHADEMA kuishia 6 ft under kabla ya 2025 kama wataendelea na jeuri kuhusu suala la “Covid-19”! Karma ikapindua. Jiwe alitisha.
 
Huyu hanaga uchunguzi binafsi maamuzi binafsi mpaka aulize

Haijawahi kuwa na maoni binafisi, maamuzi binafsi, hajawahi kuwa na akili binafsi

Ni hatari sana binadamu unapokubali kuendeshwa na wengine

Uchaguzi wa 2020 tulishuhudia kura zikitapakaa mpaka chooni alafu mwandishi mkongwe anauliza ni kweli

Mpaka wamarekani wanaandika yeye yupo tu kuchwa anafugia nywele
 
Najua kwanini ulipandisha hili bandiko mwaka ule hata maswali niliyokuuliza hukuwahi kuyajibu ila wanao na wajukuu wako watakuja siku moja kupitia haya uliyoyaandika na watabaki na masikitiko na kupita kimya kimya.

Hakuna mtandao uliolemewa bali mitandao ilifungwa hata ule uliokuwa haumfurahishi mfalme uliendelea kupatikana kwa VPN hadi miezi 6 mbele huku mingine ikiendelea kupatikana baada ya Magufuli kuapishwa katika sherehe iliyokosa mvuto !

Magufuli anaweza kulaumiwa kwa mengi ila hili la uchaguzi na ajenda iliyokuwepo nyuma yake lilichangia sana kutokuwepo kwake leo hii na nina uhakika hata kumuita [najua umenielewa]
 
Ule ulikuwa ni uhuni wa jiwe! Kanisani, naomba mniombee!
Chadema wenyewe ni wezi na wabobea katika rushwa mpaka wamethubutu kumpora ushindi Msigwa kwa kipande cha mkate.

Wansiasa wote ni wahalifu na ndio chanzo hata somo la 'criminology and criminality' kuanzishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…