The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

Jibu la swali ni kweli tunyamaza tu.
 
Wewe ni fala, na wala uteuzi haupatikani kwa kuwa mjinga kiasi hiki hata unayetegemea akuteue ameshakudharau.
Unamdanganya nani ambaye hakuwepo Tanzania, eti mtandao ulielemewa kwa sababu watu wengi walitaka kujua matokeo? Fara Aidiidi wewe.
 
Nawewe manjaaa unazeeka vibaya, uchafuzi ulipomamlizika ilikua ukituma sms yenye neno ccm hiyo sms haiendi hilo nilithibitisha Kuna wengine wanasema mwanzoni ukituma sms yenye neno Tundu Lisu sms ilikua haiendi, sasa sikuelewi unaposema ni waongo.
 
Tatizo siyo siasa bali wanasiasa mbilikimo wasiotambua kuwa uchaguzi ni shughuli takatifu.
 
Wa
Wakumbushe, Trump anadai ameibiwa kura huko Marekani!
Na uchaguzi wao ulikuwa bora Duniani
 
Ingawa vyama vya upinzani ndivyo vinavyolalamika kuwa mawakala wao walizuiwa kushuhudia upigaji kura taarifa zinaonyesha kuwa mawakala wa vyama vyote walizuiwa!
 
Wewe si msemaji wa serikali Wala si msemaji wa tcra.!!! Wala si msemaji wa watanzania, Wewe hiyo habari kwamba wengi tulinunua simu janja na mabando ya mitandao na eti mtandao ukazidiwa ndio sababu kukawa hakuna Internet umeyatoa wapi? Au umetumwa na nani? Watu tulishaumia, uchaguzi umeisha, aliepata amepata aliekosa anekosa, na mtandao umerudi immediately baada ya mkulu kuapishwa na tuko angani. Wewe endelea kupalilia uteuzi ila usitusemee Kana kwamba tumekutuma!! Bahati mbaya mkulu ameshasema Ma Dc, Ma Rc, nk. Wanaendelea walewale, nafasi ya msemaji mkuu wa serikali yupo Dr. Abbas na mkulu amemwamini kamuongezea na nafasi nyingine Karibu mkuu wizara, labda uteuliwe nafasi ya mzungumzaji wa Kanda ya ziwa. Piga kazi brother achana na hayo, uchaguzi umemalizika, na wenye mamlaka wapo kazini. Shame on u.
 
mazee hivi unajua watu wanakuheshimu kutokana na kazi yako? je unataka ushahidi wa picha na video? we endelea kujikomba tu, na kwa jinsi ulivyo badilika..nina mashaka kama kweli unaweza kuwa kiongozi hata serikali za mitaa
 
Kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kutafuta habari na kuujulisha umma wa watanzania ili waelewe tulipo na tunapoelekea.

Pia kuwajulisha watawala jinsi jumuia za kimataifa zinavyowafahamu na uovu wanaowatendea watanzania.

Pili,Mr mayalla umekuja na swali, nilizamia ueleze tu ulichokiona kwenye hilo gazeti la wamarekani kisha usubiri michango ya watu kwa maana ya kupata najibu ya swali au maswali yako.

Wewe umetitirika na maelezo mengiiii ya kuponda ambayo ukiangalia yamejibu swali lako kama unavyotaka ujibiwe
Sasa unategemea majibu gani?

Lakini kwa nini kama wewe umeona kilichoandikwa na Wamarekani ni kibaya kwa taifa letu na watawala( kwako wewe ni Viongozi)
Kwanini usiwajibu kwa kukanusha uwongo wao ili na mengine wenye uelewa kama wako wakuunge mkono?

IVI TUSEME HUU NI UGREATTHINKER KWELI?
JF KWA SASA NI HOVYO KABISA

MODS HOVYO(upendeleo mwingi)
WALIODHANIWA NI BIG THINKERS HOVYO
Limebakia jukwaa tu la kupotezea muda.

Theared kama hii inafikirisha nini?
TAFSIRI YA UZALENDO NI NGUMU SANA
NIWE MKWELI,MSUKUMA YEYOTE HATA AMALIZE MADARASA YOTE ULIMWENGUNI BADO KWENYE UEKEWA NI MTIHANI
 

Pascal, we subiri kuteuliwa ukale bata na maccm wenzako. Ila kutuambia kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki nikutufanya sisi mazuzu. Yaani nyie ccm ndiyo mlikuwa mnauona huo uchaguzi na sisi tulikuwa vipofu? Pascal usinifanye nikakujibu vibaya kwa hasira. Kubali hata Kama ni mccm kuwa hakukuwa na haki wala uhuru wowote. Mmeingiza mikura fake kibao, mnapiga watu risasi,mnafukuza mawakala wa upinzani ili mfanye ya kwenu halafu mnatuambia kulikuwa na haki!!! Iseee! Mlaaniwe wote mnaoshabikia udhalimu huu!
 
Bro wengi hatusomi hayo magazeti, kwa hiyo nawe ni agent wa mabeberu, kwa namna unavyokuja kutusambazia hizo taarifa.

Unatumia wingi, TUKANUSHE, wewe na kina nani?? Mtajijua huko wenyewe.
Huko Mwinyi anaomba maridhiano sijui ya nn?? Ilhali kila kitu cha haki, upendo na uhalali kwa 109%.

Everyday is Saturday................................😎
 
Kuwa kada wa ccm kwa sasa unahitaji kufeli mtihani wa milembe kwanza maana hata watoto wanajua mwaka huu hakukuwa na uchaguzi maana magufuuuul katunga sheria za ajabua sana zilizorahisisha zoezi la kukwapua kura
 
Mayala unatakiwa Mirembe.
 

Kwa bahati mbaya hata kitendo tu cha kwenda mahakamani kupinga matokeo watakuwa wameubariki uchaguzi walioukataa kuutambua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…