THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

Majanga.
 
Mkuu tatizo la Tanzania si viongozi bali ni mfumo uliopo

How delegation yote hiyo ina funya pesa za wavuja jasho bila huruma

Au bado malofa tupo usingizini
 
Kuna siku tukiamkaa....... !!!!!!!

Maneno ya Ndugai, sio yangu
 
Ni kweli Magufuli alikufa kwa COVID-19 kwani wewe Mpinzire Unatakaje?
Sasa kukuza utalii wa Tanzania unaendaje na Kifo cha JPM..., Tuambiane ukweli hii kitu ilikuwa ni ya Kisiasa kuweza kumuuza Samia na kuonyesha kwamba mimi sio yeye na sasa milango ipo wazi

Lets call a Spade a Spade na sio vinginevyo (Okay kufanya hivyo kuna Pro and Cons) ila at what cost ?, Na hii imedhihirisha Unafiki wa hawa watu (how can you trust someone ambae kipindi kile alikuwa kimya tu na kutekeleza yale yaliyotendeka leo hii anajitenga kwamba mazuri yote ni yeye na mabaya yote ni yule)
 
Tumia akili nyingi , nguvu kidogo

Acha mihemko
Ni nani mwenye mihemuko katinya mimi na wewe? Kama unabisha kuwa hajafa kwa COVID 19 nenda Chato kamfukue uni prove wrong!! Nyie su bado mnaabudu mungu wenu wa Kolomije!!!

Maana jitu limekufa bado mnabisha chanzo cha kufa kwake wakati mnajuwa COVID-19 ilikuwapo na Magufuli alikaidi njia za WHO za kujikinga na maambukizi. ANGEPONAJE?
 
Magufuli alijaribu kumuua Philip Mangula kwa sababu hakukubaliana na mchakato wa kumfukuza Benard Membe kwenye CCM. Alitumia glass ya maji kuweka sumu ila kwa mapenzi ya Mungu alinusurika.

Huyu Samia pamoja na kuwa Makamu wa Rais kikatiba lakini hakuwa anashiriki maamuzi nyeti ya Serikali. Unadhani anhepata wapi ujasiri wa kumpinga DIKTETA wenu kuhusu COVID-19?


Wasukuma kuweni wapole, tuachieni nchi yetu tumeirudisha kwenye mikono salama.
 
Na hayo yanahusika vipi na Royal Tour na kutangaza utalii ? Kama alijua hayo na alikuwa hataki akakaa kimya tu huku akila pesa (mshahara na ruzuku) ni kukosa guts to say the least jambo ambalo wengi hatuna ila for a president lazima uwe na guts..., kusema nyekundu ni nyekundu na sio kuiita njano in fear of your wellbeing is normal for an average person but not a commander in chief...
 
Wasukuma kuweni wapole, tuachieni nchi yetu tumeirudisha kwenye mikono salama.
Yaani nalionea huruma sana Taifa langu kwa kupiga hatua kwenda nyuma... Yaani huyu ni Mtanzania mmoja anaongelea kuhusu watanzania wengine kwamba nchi imetoka huku na kwenda kule...

Nadhani huku ni kuwa myopic na kazi kubwa iliyofanywa na waasisi naona sasa inakwenda down the drain..., na kwa hili lawama pia zinaweza kwenda kwa JPM na wapuuzi wachache wanaondeleza huu upuuzi Rest in Peace Mwalimu (all you tried to do and by paying some high price is now down the drain)

 
Wewe unazo hizo GUTS? Mnapeana mori za kijinga tu! Ungekuwa na GUTS ungejiita KeyserSoze ??

Aache wane wanaye wawe yatima kwa ajili ya kukufurahisha key board warrior unayetumia fake ID
 
Una uhakika J K Nyerere akifufuka leo atasema nchi imerudi down the drain kama unavyo jaribu kudanganya hapa?

Kama huwezi ku acknowledge development ya Tanzania kwa miaka 35 baada ya Nyerere kutoka madarakani basi wewe ni ZOMBIE
 
Wewe unazo hizo GUTS? Mnapeana mori za kijinga tu! Ungekuwa na GUTS ungejiita KeyserSoze ??

Aache wane wanaye wawe yatima kwa ajili ya kukufurahisha key board warrior unayetumia fake ID
Mimi ni commander in Chief ? Hivi hata umesoma nilichoandika au unasoma alafu huelewi , Nimesema average person haitaji hizo guts ila kama commander in chief anashindwa kusimamia msimamo na kwenda na upepo maybe yupo kwenye wrong job..., kwahio leo taifa lenye nguvu likiwa a threat kwa watoto wake kuwa yatima ata-roll over ?!!!
 
Una uhakika J K Nyerere akifufuka leo atasema nchi imerudi down the drain kama unavyo jaribu kudanganya hapa?

Kama huwezi ku acknowledge development ya Tanzania kwa miaka 35 baada ya Nyerere kutoka madarakani basi wewe ni ZOMBIE
Nimekuwekea qoute hapo za huyo huyo JKN kwamba yoyote yule anayeleta kwamba kabila fulani hivi au vile ni Kaburu tu..., sasa kama unabishana na qoutes zake hio ni prerogative yako siwezi nikakupangia, ila yoyote yule anayegawa na ku-generalize kabila katika uongozi fikra zake ni myopic to say the least...
 
Jamani hii picha nyeusi ni ya kuchora au photo mbona rais anaonekana sura nyingine alafu picha huwa inatoa message fulani hebu iangalie kwa umakini utaona kitu
 
Petro(Peter) mtalii pekee aliyepewa heshima ya kutalii kifalme! Asingepata heshima hiyo mimi nisingejua unene wa vioo vya gari la rais(sijajua uhusiano na utalii!), katika filamu yote hii ya gari la rais kwangu ndiyo ilikuwa kipaumbele(highlite) na sijui ni watalii wangapi watakuja kulipanda gari hilo!

Filamu ya Royal Tour ni ngumu kuiweka kwenye patigazeti ya dakika mbili kwani haina highlites, the whole film is too slow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…