The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

kama kawaida chama linaendelea na mazoezi kwa ajili ya ligi kuu....
 
07/03/12
VPL; AZAM FC Vs COASTAL UNION,
U/azam

ratiba inawezabadilika muda wowote..
 
leo uwanjani
game: azam fc v yanga sc
time: 16:00 PM
venue: Taifa stadium

viva la azam fc..
 
boco anaipatia azam fc goli la 3 huku akiwa amefunga goli lake la pili katika hili gemu..
 
Back
Top Bottom