Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Nipo mkuu lol, bado naamini dallas watachukua ubingwa.
Lazima wafanye kila njia washinde Thursday wasizubae kama leo huku wenzao wamekuja kuwamaliza forth quarter.
Miami wameponea tu kwene collapse ya Dallas. Lakini inabidi wawe na game plan na huyu Mjerumani. Sidhani ktk games zijazo itakuwa rahisi kama leo.Its over , dallas walishindwa kuchukua advantage wakati miami game lilikuwa linawakataa.sasa game limewakubali na wanafunga biashara.
James na masifa juu sasa utamwambia nini.
Miami wameponea tu kwene collapse ya Dallas. Lakini inabidi wawe na game plan na huyu Mjerumani. Sidhani ktk games zijazo itakuwa rahisi kama leo.
Timu yoyote inaweza kuchukua ushindi lakini naipa nafasi kubwa sana kwa Dallas kutona na bench lao linatoa msaada mkubwa.
Miami akizimwa Lebron na Wade mchezo umekwisha.
Na pia na predict Dallas watashinda kwa 4-0, ni mtazamo wangu tu wakuu msiwe wakali lool. Bonge la sweep linakuja lool.
Mbona tunatesana asubuhi hivi jamani.... this woman is hhooottttttt!
Hizi dakika za mwisho za miami mpaka wamenipa njaa ya ghafla lol.
She is a milf. Anyways naye anahitaji 'faraja' ati.Mbona tunatesana asubuhi hivi jamani.... this woman is hhooottttttt!
Wade alishaanza ma-turn over yake kocha akampuzisha. Bosh na Haslem had an awful night too. Baller pekee aliekuwa consistent ni The King mwenyewe pamoja huyu dogo Chalmers. The rest was down to self-destructiveness ya Dallas.Kaka Wenger, the problem is LeBron & Wade are not easily stopable.
Wade alishaanza ma-turn over yake kocha akampuzisha. Bosh na Haslem had an awful night too. Baller pekee aliekuwa consistent ni The King mwenyewe pamoja huyu dogo Chalmers. The rest was down to self-destructiveness ya Dallas.
Alley-opp!!!!
Humu kutatulia tu Game 3 au 4 naona wengi mnarukia MIAMI subirini Dallas ile D yao ikubali alafu waunge na zile 3 zao alafu ndio Kitambaa cheupe kitavyonea kwenye Court kwa Time Out mie bado nawaamini Dallas. hii kitu lazima irudi WEST. na Lebron ajue asipobeba hii yule NFL player basi atasubiri sana mwakani au next 2 yrs. Hapa ni Game 3 au 4 ndio tutajuwa muelekeo.
Wakuuu mpoooo?
Dallas leo wasiniangushe kabisa, inabidi washinde hii wakamalize biashara dallas. Hamna mtu kurudi Miami.