The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Nipo mkuu lol, bado naamini dallas watachukua ubingwa.

Lazima wafanye kila njia washinde Thursday wasizubae kama leo huku wenzao wamekuja kuwamaliza forth quarter.

Mwenzio Mark Cuban haamini what is happening!

4c16baebfb8e12c1e5677053320c50fa-getty-114832789mw109_dallas_maver.jpg

Its over , dallas walishindwa kuchukua advantage wakati miami game lilikuwa linawakataa.sasa game limewakubali na wanafunga biashara.

James na masifa juu sasa utamwambia nini.
Miami wameponea tu kwene collapse ya Dallas. Lakini inabidi wawe na game plan na huyu Mjerumani. Sidhani ktk games zijazo itakuwa rahisi kama leo.
 
Haya Nyani NGabu hile kauli yangu achana nayo naendelea kwamba dallas wanachukua hii kitu wamejifunza. Kitu leo lol.
 
Miami wameponea tu kwene collapse ya Dallas. Lakini inabidi wawe na game plan na huyu Mjerumani. Sidhani ktk games zijazo itakuwa rahisi kama leo.

Kweli kabisa mkuu, walikuwa relax sana mambo yalivyokuwa yanawaendea vizuri. Wametupa game.
 
Mkulu Pat Riley anafurahia the goings-on...

bd16b4a6cc3ef0b5411f99e259f8dc50-getty-114832789mw076_dallas_maver.jpg

Lil' Wayne

ap-201105312205795255978.jpg

Mambo ya Miami ni raha tuu!!!

a706afa1017d375ee17b0a84a4afd892-getty-114832789mw074_dallas_maver.jpg

Gabrielle Union...demu wa D-Wade

161ece20fa9630a3683be3ef174964d5-getty-114950780mw008_dallas_maver.jpg

Timu yoyote inaweza kuchukua ushindi lakini naipa nafasi kubwa sana kwa Dallas kutona na bench lao linatoa msaada mkubwa.

Miami akizimwa Lebron na Wade mchezo umekwisha.

Na pia na predict Dallas watashinda kwa 4-0, ni mtazamo wangu tu wakuu msiwe wakali lool. Bonge la sweep linakuja lool.

Kaka Wenger, the problem is LeBron & Wade are not easily stopable.
 
Kaka Wenger, the problem is LeBron & Wade are not easily stopable.
Wade alishaanza ma-turn over yake kocha akampuzisha. Bosh na Haslem had an awful night too. Baller pekee aliekuwa consistent ni The King mwenyewe pamoja huyu dogo Chalmers. The rest was down to self-destructiveness ya Dallas.
 
I also think both teams were poor today, ila I give credit to the Heat coz they were able to take advantage of others' weaknesses.
I agree, Chalmers was lively hasa ile mitupo ya 3.
Game 2 will be tough.
 
bosh hakuwa kwa game kabisa leo!ila the last quater ki-ukweli Heat walinilipa usingizi wangu kabisa,nilishaanza ku-regret kuamka alfajiri kucheki game(si mnajua huku home inakua usiku usiku).wade na the king himself were amazing!!
 
Humu kutatulia tu Game 3 au 4 naona wengi mnarukia MIAMI subirini Dallas ile D yao ikubali alafu waunge na zile 3 zao alafu ndio Kitambaa cheupe kitavyonea kwenye Court kwa Time Out mie bado nawaamini Dallas. hii kitu lazima irudi WEST. na Lebron ajue asipobeba hii yule NFL player basi atasubiri sana mwakani au next 2 yrs. Hapa ni Game 3 au 4 ndio tutajuwa muelekeo.
 
True true bro. But defensively Heat wanaonekana is what keeps them winning in case offensive fails.
 
Wakuuu mpoooo?

Dallas leo wasiniangushe kabisa, inabidi washinde hii wakamalize biashara dallas. Hamna mtu kurudi Miami.
 
Back
Top Bottom