figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Huyu mama kweli ni kikweteism.Salaam wakuu,
Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo.
Kuna hizi picha mbili za Kisiasa.
Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia.
Pia soma:
1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA
2. Wamasai wa Loliondo Washinda kesi Mahakama ya Afrika Mashariki
3. KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY
View attachment 2258779
Ukijua yote ama utachanganyikiwa au utafurahi zaidiHuyu mama kweli ni kikweteism.
Duh, wacha tuendelee kutafakari!
Huenda tusoyajua ni mengi kuliko tuyajuayo!
Kama wamepiga picha ikulu ya Oman ulitaka iwe tofautiSalaam wakuu,
Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo.
Kuna hizi picha mbili za Kisiasa.
Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3.
Pia soma:
1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA
2. Wamasai wa Loliondo Washinda kesi Mahakama ya Afrika Mashariki
3. KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY
View attachment 2258779
View attachment 2258796
View attachment 2258804