The Only One My Love moneytalk

The Only One My Love moneytalk

Oyoooooh braza umetokea?

Hongera sana ndugu yangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Uwe makini hii ina ushemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kupendwa raha sana jamani moneytalk hadi kaangusha mchozi! Mwifwa baada ya kusoma hapa machozi yanamlenga lenga!!



Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu
 
Back
Top Bottom