Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWoyoooo
Kishakuja sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani Miller akili zake anazielewa mwenyeweAhahahaaaaaa kanichekesha sana ujue
Sawa tutamwambiaJamani mkinionea mbalizi1 mwambieni namtafuta saaaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wewe ile siku eeeh
hahaa kama huna nyundo utakazia nanini sasa ?Khaa!!!wala sikazii
Hahahaa mambo ni motoooo[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] aiseee,,,
Shem embu niache tu niongee [emoji23]acha maneno basi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] ndio shemu wangu nilikua bubu ghafla nikakosa la kusema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuliza kwanza presha mamaaaNimeona mpenzi wangu, ila hiyo mistari mpaka nimeskia wivu ujue,
Embu nambie kwanza ulikuwa wapi na kwanini unapenda kuutesa moyo wangu?
HahahahaSawa mkubwa ila chelewachelewa...(Wahenga hao)
Ahsante dada angu,utukumbuke katika maombi yakoWoyoooo
Jirani yangu mimi apaaaa!!!
Naona moyo umedondokaaaaaa kwa binti mapesaaa!!!
Mungu awajaalie kila lenye kheri jamanii!!
Moneytalk kupendwa bahati mdogo wangu!! Ushikwapo shikamanaa!!!
HahahaKwa Humble African sjui steemit ku download madorali kwa kupigaaa umbeyaaaa
Umenishinda tabia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oohoo my love nashindwa hata niseme nini jaman,nimejikuta nalia kwa furaha,kila siku unanifanya nijione mpya nakama vile naitawala duniani nzima kwa mapenzi yako kwangu,mwifwa wangu wewe nimwanaume wapekee sana ktk maisha yangu na naamini ulizaliwa kwa ajili yangu,siku zote sitachoka kumshukuru mwenyezi mungu kwakunipa wewe,nakupenda sana mpenzi wangu,daima tuzidi kumuomba mungu atuongoze katika safari yetu Tanisha! nakupenda mume wangu