Jina la Bob EBBY Johnson, ni mimi niliyekutajia kule BCS, otherwise mimi huwa siongei matusi kwenye jumuiya na wanajamiiii, mimi ni hoja kwa hoja bro,
Ninapokutana na watu kama wewe huwa ninawaachia wananchi waamue mwenye akili nani na asiyekuwa nazo, nafikir wakati umefika wa kukuban kabisaaaaa maana hakuna reform wala therapy inayoweza kukusaidia, wewe tukana tani yako, lakini ninaisaidia hii forum ili usije ukatisha watu tena, ndio the goal ya kusimama na wewe uso kwa uso,
Mzee Bob, ninakuomba radhi kwa kitendo kisichokuwa na uungwana alichokufanyia huyu ndugu, si uaona tu kwa maneno yake hapo juu kuwa the man needs a help, kwa hiyo mimi ninaubeba msalaba aliokutwisha ndugu yangu Bob ndio kibinadamu, maana mtu mwenyewe kama unavyomuona!