Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 24
Mbowe vipi shule? na leo anatakiwa kufanya mtihani?
na gazeti la chadema la leo limekanusha kuwa chadema sio ile chagga development manifesto-Chadema, ilikuwa miaka ya zamani. tunaomba ukweli wa jambo hili.www.freemedia.co.tz mtaona habari hii.
Mnyika njoo utuweke sawa.