Ukiona hivyo kuna ukweli anaujua na ndio maana anaogopa kujitokeza humu jamvini maana anajua fika kuwa kuna watu wengi wanamfahamu kiundani zaidi kuliko baadhi yetu tunavyomjua.Amini nawaambia Dr Slaa ni miongoni mwa Wanasiasa safi kabisa ndani ya CHADEMA na ndio maana haogopi kuja humu kujibu tuhuma mara Chadema inaposhambuliwa na kuchafuliwa na Wapinzani.Hawezi kuja kujibu tuhuma zinazomhusu na hatathubutu kamwe.I really love CHADEMA but some people within the Party are a major disappointment to us.
Nahisi hilo sio hitajio lako kutakua na jingine nyuma ya pazia,kwani naamini ukweli uliopo kwenye tume ya maadili ndio uharisia haya mengine mnayozusha hayana maana kabisa,na sio kwamba mnayasema haya kwa kuitakia chadema mema ispookuwa tu mnataka mpate kingine cha kusema.
Na kama mungekuwa wazarendo tungewaona tangu mwanzo harakati zenu juu ya watuhumiwa na mafsadi wa nchi hii walivyo na matirion ya sh.nje ya nchi,hamjawahi kuuliza ama kukazia mabilioni ya Chenge,Abdulhaman shimbo,kinana,Lowasa na wengine wengi waliowahi kuwa viongozi waandamiz wa nchi hii,nahisi akili zenu zinasukumwa na ushabiki wa kijinga mkiwa na malengo ya kuwahadaa watz na wasiwatambue wezi wa mali za umma,kama una akili timamu unaweza vipi kusumbuka kuhoji mali binafsi za mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi mwandamiz wa dora?ukawaacha majizi na maranguzi ya taifa hili yakipeta?sioni haja ya mh.Mbowe kuja humu kujibu vitu ambavyo havina maana kabisa na havina masilahi kwa waliotimamu.